Mwalimu wa Laureate International School Mathias Mhoja akielezea maandalizi yao kuelekea Afrisoccer School Cup itakayofanyika katika viwanja vya shule yao Februari 29-Machi 1
Pia nahodha wa timu ya wanawake chini ya miaka 15 Siham Abri ameongelea kuhusu michuano hiyo.
Afrisoccer tumeibuka na ushindi wa goli 8-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya International School Of Tanganyika (IST) iliyochezwa jana Februari 20 katika uwanja wa shule hiyo Masaki.
#Afrisoccer#SoccerSchool#AfricanFootball#DandiaMchumaTwende
#AfrisoccerSchoolCup creating you Competitive Spirit.
The countdown has started, is your school signed up?
Schools can contact us through this number 0767331541
#DandiaMchumaTwende
Vijana wa Afrisoccer waliweza kushiriki katika Progamu ya majaribio inayoendeshwa na shirikisho la soka Tanzania TFF ya kutafuta vijana wa kuunda timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17.
Majaribio hayo yalifanyika katika kiwanja cha Karume ofisi za TFF.