Hatimae maji ya Afya ndio chaguo la watanzania kupitia tuzo za Consumer Choice awards Africa kipengele cha Most Consumer friendly Soft Drink. Tunawashkuru watanzania wote waliotupigia kura na tunaahidi kuendeleza ubora katika bidhaa zetu zote. Asanteni sana. @ccawardsafrica
π΄ TUNAKWENDA LIVE!
Watercom yazindua ushirikiano mpya na EFM!
Ungana nasi moja kwa moja Jumatano, 30 Aprili saa 3:00 asubuhi hadi 6:00 mchana, moja kwa moja kutoka Sports HQ.
Usikose!
#WatercomXEFM#LiveAtSportsHQ#Afya#EFMUpdates#Watercom
Eid Mubarak from all of us at Watercom! Wishing you a day filled with joy, love, and togetherness. May your hearts be as full as your tables and your moments as refreshing as a sip of Afya Water. Enjoy the celebrations! β¨ #EidMubarak#StayRefreshed
Afya drinking water 1L sasa ni Tsh 500 tuπ§
Ubora uleule kwa bei nafuu zaidi!
Unayo tayari ? Piga picha ukiwa na Afya water yako ya 1L na tuambie kwenye comments kwa hashtag. #NiJeroTu#AfyaDrinkingWater#UsinyweMajiKunywaAfya
NI JERO TU! π§π
Chakula kitamu kinaendana na maji safi! Sasa Afya Drinking Water 1L ni Tsh 500 tu! π
Weka kwenye comments #NiJeroTu na tutumie picha yako ukiwa na Afya 1L na chakula chako! πΈπ
Ubora uleule, bei poa zaidi! π¦
#NiJeroTu#AfyaDrinkingWater
Afya Drinking Water 1L sasa ni Tsh 500 tu! Maji safi, salama na ya ubora kwa bei nafuu zaidi! π₯
Weka kwenye comments #NiJeroTu na tutumie picha yako ukiwa na Afya 1L! πΈπ
Ubora uleule, bei poa zaidi! π¦
#NiJeroTu#AfyaDrinkingWater#UsinyweMajiKunywaAfya
Unakabiliana vipi na kiu yako mwanzoni mwa wiki? π§ Afya 1L inakuhakikishia maji safi na salama kwa kila hatua ya siku. Kata kiu, uwe tayari kwa chochote! #AfyaWater
π Majira ya joto yamefika! Twende na mtindo wa Afiya Sodaβkiburudisho safi chenye flava zinazotuleta pamojaβ¨
Tuambie kwenye comments, utatumiaje Afiya Soda kuburudisha majira yako ya joto! π #AfiyaSoda#BurudikaNaFlava#MajiraYaJoto
Jipatie Afya Drinking Water 1L kwa bei mpya ya ajabu β sasa ni jero tu! Kwa Tsh500 unapata maji safi, baridi, na yenye ubora. Usikose ofa hii, weka afya yako juu kwa bei nafuu! π§ #afyadrinkingwater#NiJeroTu#MajiSafinaBaridi
Burudika na ladha ya kipekee ya #SupaCola! Tumerudi kitaa na msisimko mpya!
Unadhani hii soda ina ladha gani? Tuambie kama wewe ni #Supa!
#TasteTheSupa#SupaSip"