Happy New Month...
Ni siku nyingine njema tena na Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii aliyotupatia
Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa bado nipo kwenye maandalizi ya E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Hivyo tarehe rasmi ya e-book kutoka nitaitaja
Nashukuru kwa uvumilivu wenu na sichukulii poa
Natumia muda wangu mwingi ili niandae kitu bora na kitakacholeta Impact kubwa na ya muda mrefu
@miracleboytz@The_mesha24@AmosCyprian4
@hajury1@francismtey Even women are loved conditionally.
Ukifika muda wa kuoa...unachagua mwenye maadili, utu na stara hizo tayari ni conditions
Hakuna kiumbe anayepewa upendo bure
Kuna criteria lazima uwe nazo.
@ThaBoyYom We will revisit this soon
You sabi!
Remember that your tweet talking about how social media made people forget living and processing feelings.