@Royal_Tv_Tz Anaoengea uongo huyu, alikuwa chawa wa Zitto na alimuunga mkono Kafulila, Heche aliwagaragaza na mission yao ya kuiba kura ilizuiliwa! Huyu alikuwa hana lolote kwenye siasa za BAVICHA asitake kudanganya watu
@IAMartin_ Nilipata mshtuko wa kwanza ile siku tume inaundwa, muundaji alisema watawapa tume hadidu za rejea na secretariat! Mshtuko wa pili ni kujua tume imeundwa kuchunguza sababu za maandamano na sio sababu za vifo, idadi na wahusika wa mauaji!