Wewe ndiye Yeremia wa leo….kabla hujazaliwa alikujua, alikuteua…na akapanga mambo yako vizuri sana na kile alichopanga atakifuatilie na kukitimiza. Usiogope, usione huwezi, Mungu atakupa nguvu! @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele#BarakaZaMilele
@EvahMwalili@Milele_FM Amen kangemi tayari kunyakuwa baraka naamsha mtoto wangu reinhard na wanalingi wote na tukutane galilaya @Evah Mwalili andMilele FM #Barakazamilele