📍Chukwani, Zanzibar
Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Mke wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Mama Siti Mwinyi Pamoja na Kizuka wa Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi Bi,Fauzia Salim Hilal na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto)
📸-IKULU
*AWAMU YA 6 KAZINI*
*AGOSTI 30, 2022*
*KILIMANJARO*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, *Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN* kufungua Kikao Kazi Cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Polisi wa Mikoa na Vikosi, Mkoani Kilimanjaro.
*#AwamuYaSitaKazini*
*#TunajengaTaifaLetu
Nawapa Pongezi Timu ya Taifa ya Soka la Wanawake chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022. Hongera kwa benchi la ufundi na wote waliochangia kufikia hatua hii. Mmeweka historia kubwa na adhimu kwa nchi yetu. Ninyi ni fahari ya Watanzania.