@realmadrid@Brahim 📍Una aventura de safari en Tanzania
▪️¿Sueñas con un safari en Tanzania? Con sus extensos parques nacionales y reservas, este encantador país ofrece una gran variedad de actividades y lugares para explorar.
https://t.co/VDabSMaPNH
“Msanii Twenty percent alitoa maelezo ya maisha ambayo mimi ninayatumia. Alisema hivi cha kwanza kubali mapungufu yako, cha pili ridhika na ulichonacho, cha tatu ongeza kipato chako na cha nne chunga tamaa mbaya” Doto Biteko
So Kuna Hii Formula nilijifunza inaitwa—“CSI”
Inasema Hivi:
1). Tengeneza Mazingira ya Pesa Kuingia Kila Siku Haijalishi ni ndogo Kiasi gani—(Cash Flow In)
2) Weka Akiba ya Kutosha—(Save)
3). Wekeza Hiyo Akiba kwenye Cash Flow In—(I)