Mechi Nane, Viwanja Tofauti, Muda Mmoja bila kusahau Mikoa Tofauti tofauti pia. Licha ya hayo yote ila bado @azamtvtz wapo na wewe na Burudani wanakusogelezea zote bila kukuacha Njia panda 💯💯
Hii ndiyo Maana halisi Ya Burudani kwa wote 🙌🙌
Naomba nichukue nafasi hii Mimi kama Botafogo kuwapa pongezi za dhati kabisaa @azamtvtz Mpaka muda huu tumeoneshwa game zote zilizochezwa kwa picha angavu kabisaa HD
alafu bei ya Kifurushi imekuwa Rafiki kabisaa kwa Maisha ya Mtanzania na kutuwezesha world cup kuwa sebuleni👊
Hivi gharama za Billboard pale mjini ni bei gani?
Wanangu wa Man United embu fuatilieni.
Tunaweza jichanga tukaweka moja kubwa pale town kila wakikohoa wanatuona😂