AKILI ALUMNI MARATHON, YACHAPISHWA MAREKANI
Tukio la kitaifa la Akili Alumni Marathon 2026 limeanza kupata mwanga wa kimataifa baada ya habari zake kuchapishwa katika vyombo vya habari vya nje ya nchi.
Hii inaonyesha uzito na upekee wa marathon hii inayowaunganisha Watanzania waliowahi kusoma nje ya nchi ili kukusanya USD 1.2 milioni za kuwafadhili wanafunzi 100 kusoma kozi za kisasa kama Artificial Intelligence, Cyber Security, na Blockchain Technology.
Marathon hii siyo tu mbio, bali ni harakati ya kitaifa yenye lengo la kujenga kizazi kipya cha wataalamu wa teknolojia watakaoiongoza Tanzania katika uchumi wa kidijitali. Zaidi ya vyuo 100 kutoka nchi mbalimbali duniani vinatarajiwa kushiriki na kuleta fursa za scholarship na udahili kwa wanafunzi wa Kitanzania.
Tukio hili litaongozwa na Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, na pia linakusudia kuvunja rekodi ya dunia ya ushiriki wa mataifa mengi zaidi. Hii ni historia inayotengenezwa hapa hapa Tanzania.
Mahali: Leaders Club, Dar es Salaam
Malipo: Tsh 50,000
Tarehe: 06/04/2026
Lipa namba: 21932825 (NMB)
Mbio: 5km, 10km, 21km
Baada ya malipo, tuma ujumbe mfupi WhatsApp: +255 759 125 077
Au jisajili moja kwa moja kupitia:
https://t.co/Lhj08FgM2Y
USA news link: https://t.co/2WKuDbhPvy
Tunajua hukufanya maamuzi sahihi wakati unachukua Bachelor Degree. Either ulifuata mkumbo au ulisikiliza ushauri wa wajomba na mashangazi ๐.
Sasa Akili Education hatutaki urudie makosa hayo kwenye Masters.
Kabla hatujakuambia MBA zenye specializations zinazoweza kukupeleka kwenye sekta zenye fursa kubwa duniani, angalia watu hawa:
Sundar Pichai โ CEO wa Google/Alphabet; ana MBA kutoka Wharton.
Satya Nadella โ CEO wa Microsoft; ana MBA kutoka Chicago Booth.
Tim Cook โ CEO wa Apple; ana MBA kutoka Duke.
MBA peke yake haikuwafanya wafike walipo, lakini utaona kitu kimoja: technology + business + leadership ni combination yenye nguvu sana kwenye uchumi wa sasa.
Sasa usiende kuchukua MBA kwa sababu tu unataka kuitwa โMasterโs graduate.โ ๐
Angalia MBA za kizazi hiki zinazounganisha biashara na maeneo yanayokua kwa kasi.
Lovely Professional University (LPU), India ๐ฎ๐ณ kwa intake hii ina:
MBA Business Analytics โ knowledge partnership with EY
MBA Financial Markets โ tie-up with NSE Academy
MBA Hospital & Healthcare Management
MBA International Business
MBA Supply Chain & Logistics โ tie-up with CII Institute of Logistics
MBA Data Science & Artificial Intelligence
MBA FinTech & Artificial Intelligence
MBA Tourism, Aviation & Hospitality
MBA Digital & Social Media Marketing
Sasa fikiria mtu aliyesoma Bachelor ya kawaida, halafu Masters anachagua FinTech & AI, Data Science & AI, Business Analytics au Financial Markets.
Hapo hujaongeza certificate tu โ umeanza kujenga specialization mpya kwenye profile yako.
Ukiwa na budget ya milioni 15 tu kwa mwaka, ada, malazi na chakula, mtoto wako anaweza kusahau majuto ya kusoma bachelor degree ya kawaida na ukamuweka kwenye spotlight ya dunia
Bachelor ilishapita.
Masters usirudie kosa. ๐ฅ
๐จ Udahili wa kundi letu unafungwa tarehe 25.
Comment โMBAโ tukutumie programmes na utaratibu wa kujiunga.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Neolife Building
Wazazi wenye watoto waliomaliza PCB, hii post msipite nayo haraka!
Selection zimetoka. Wanafunzi wengi waliokuwa na ndoto za kusoma kozi za afya hawajapata programmes walizokuwa wanataka. Wengine wamechaguliwa Ualimu au kozi nyingine za Sayansi ambazo hawakuwa wamezipanga.
Akili Education tumekuja na SULUHISHO.
Tatizo ni moja tuโฆ
๐จ SULUHISHO HILI NI KWA WANAFUNZI 3 TU!
๐ซ BACHELOR OF SCIENCE IN CARDIOVASCULAR TECHNOLOGY
Tunajua wazazi wengi hata hawajawahi kusikia hii kozi. Ni programme specialized inayomwandaa mwanafunzi kufanya kazi kwenye huduma zinazohusiana na moyo na mfumo wa damu, akifanya kazi pamoja na madaktari na wataalamu wengine wa afya.
Mwanafunzi anajifunza maeneo kama:
๐ซ ECG
๐ซ Echocardiography
๐ซ Cardiac Monitoring
๐ซ Treadmill/Stress Testing
๐ซ Cath Lab Procedures
๐ซ Uchunguzi wa mfumo wa moyo na mishipa
Tumeshajiridhisha kuwa programme hii inatambulika na TCU na pia imesajiliwa chini ya baraza la madakatari Tanzania MCT.
๐ฎ๐ณ BUDGET: TZS MILIONI 12 KWA MWAKA
Hiyo inajumuisha:
ADA + MALAZI + CHAKULA.
Mzazi, kama mtoto wako alitamani kusoma afya lakini selection haijampa alichokuwa anakitaka, usifikiri kila kitu kimeishia hapo.
Mlete Akili Education na matokeo yake. Tuangalie eligibility yake na tumsaidie kupata nafasi.
SITI 3 TU. ๐ซ๐ฎ๐ณ
Comment โMOYOโ tukutumie utaratibu wa admission.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Neolife Building
Wachaga tumewakubali jamani ๐๐ฅ ni wazee wa fursa! Wakisikia jambo lina future, wamo!
Huyu ni Janeth Mushi. Kwenye video yupo airport tayari anaelekea India ๐ฎ๐ณ kusoma BCA in Data Science.
Kinachofanya story ya Janeth iwe interesting zaidi ni hiki:
Janeth alikuwa mwanafunzi wa afya.
Lakini akasema โHapana, technology inakua kwa kasi sana. Nataka kwenda kwenye Data Science.โ
Na ukifikiria vizuri, dunia tunayokwenda sasa inaendeshwa na nini?
DATA!
Benki zinahitaji data kujua tabia za wateja na kutambua fraud.
Hospitali zinatumia data kuelewa wagonjwa na kuboresha huduma.
Telecom zinachambua data za mamilioni ya watumiaji.
Biashara zinahitaji data kujua bidhaa gani inauza, kwa nani na lini.
Serikali zinahitaji data kupanga huduma na kufanya maamuzi.
AI yenyewe haiwezi kuwa na maana bila DATA ya kujifunzia.
Kwa kifupi, karibu kila taasisi kubwa leo inakusanya data. Changamoto ni nani ataichambua na kuigeuza kuwa maamuzi yenye maana?
Hapo ndipo watu wa Data Science wanapoingia. ๐๐ป
Na Wachaga mwaka huu mmetupa somo ๐. Janeth anakuwa takribani Mchaga wa 37 kati ya Watanzania zaidi ya 200 ambao Akili Education tumewasaidia kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi mwaka huu.
Mkisikia AI, Cyber Security, Data Science, FinTech mnauliza kwanza: โFursa iko wapi?โ ๐๐ฅ
Sasa habari kubwa ni hii:
๐จ ZIMEBAKI NAFASI 3 TU kwa option yetu ya Bachelor/BCA in Data Science India.
Budget ni takribani TZS MILIONI 8 KWA MWAKA ikijumuisha:
โ Ada
โ Malazi
โ Chakula
Na malipo yanaweza kufanyika kwa awamu mbili kulingana na package husika.
Mzazi, kama mtoto wako amemaliza Form Six na bado hajapata chuo/kozi mnayoitaka, usiache hizi nafasi zipite halafu uje kuuliza zikiwa zimejaa.
Njoo Akili Education na matokeo yake, tumshauri na tuanze admission.
Comment โDATAโ tukutumie utaratibu.
๐ 0793939320
๐ ITV Road, Neolife Building
Wachaga mpo? Uchagani mpaka India! ๐
Kwenye video ni Mama Nasma Honello, ambaye mtoto wake Nasma leo anasafiri kuelekea India ๐ฎ๐ณ kusoma Bachelor in Biotechnology.
Mama Nasma ana ujumbe mmoja kwa wazazi:
โKama unatafuta chuo nje ya nchi, Akili Education ndiyo kila kitu.โ โค๏ธ
Lakini kuna jambo moja tunataka wazazi mlijue.
Ukiachana na kusaidia wanafunzi kupata admission na kwenda kusoma nje ya nchi, kazi kubwa tunayofanya Akili Education ni KUSHAURI.
Kwa sababu bila ushauri mzuri, mtoto anaweza kuwa na ufaulu mzuri lakini akachagua programme ambayo haijengi future anayoitaka.
Kama mtoto amekosa chuo nchini, au amechaguliwa programme ambayo ukiitazama huoni direction yake, USIKATE TAMAA. MLETE AKILI EDUCATION.
Tutakaa naye, tuangalie combination, matokeo, interest na options zinazopatikana.
Kwa PCB, baadhi ya options tunazopendekeza ni:
๐ฉป Bachelor in Radiology
๐๏ธ Bachelor in Optometry
๐ Bachelor in Anaesthesia Technology
๐ซ Bachelor in Cardiovascular Technology
Kwa PCM:
๐ค Bachelor in Artificial Intelligence
๐ Bachelor in Cyber Security
๐ Bachelor in Data Science
Kwa ECA, EGM na Arts, kutegemea eligibility:
๐ฐ International Accounting
๐ณ FinTech & AI
โ๏ธ Aviation Management
๐ฑ Digital Marketing
Haimaanishi kila mwanafunzi lazima achague moja ya hizi. Ushauri sahihi unaanza na kumuelewa mtoto kwanza.
Na jambo ambalo wazazi wengi hawajui:
๐ฎ๐ณ Kusoma India kupitia baadhi ya options tulizonazo kunaanzia takribani TZS MILIONI 8 KWA MWAKA โ ADA + MALAZI + CHAKULA.
Kwa hiyo kabla hujasema โkusoma nje ni gharama sanaโ, FIKA OFISINI KWANZA.
Leta matokeo ya mtoto. Tukae naye. Tumshauri. Tumtafutie programme na chuo kinacholingana na uwezo, budget na future anayotaka kujenga.
Nasma leo anaondoka. โ๏ธ๐ฎ๐ณ
Kesho tunataka iwe furaha yako mzazi.
๐ Comment โUSHAURIโ tukutumie muongozo au njoo moja kwa moja ofisini.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Neolife Building
Kwenye video hii Frank Lugendo amesema mwenyewe safari yake ya kwenda kusoma nje haikuwa rahisi.
Kuna wakati mambo yalikuwa magumu, lakini wazazi hawakukata tamaa na sisi Akili Education tukafanya juu chini kuhakikisha ndoto yake haifi.
Leo Frank yupo airport. โ๏ธ๐ฎ๐ณ
Anaelekea Poornima University, India kusoma Bachelor in Cyber Security. ๐๐ป
Mzazi, kuna wakati kujinyima kwako leo kunaweza kubadilisha kabisa maisha ya mtoto kesho.
Dunia imehamia kwenye mifumo ya kidigitali. Benki, Serikali, hospitali, telecom, insurance na kampuni kubwa zinahifadhi taarifa na kufanya miamala kupitia mifumo ya computer. Kadri matumizi ya technology yanavyoongezeka, ndivyo umuhimu wa watu wenye uwezo wa kulinda systems, networks na data dhidi ya mashambulizi ya kimtandao unavyoongezeka.
Hapo ndipo Cyber Security ilipo.
Na Tanzania tayari kuna vyuo vinavyotoa Cyber Security, lakini bado si programme inayopatikana kwa upana kama kozi nyingi za kawaida.
Tuna ushuhuda unaotupa moyo zaidi.
Mmoja wa wanafunzi wetu wa mwanzo tuliyemsaidia kwenda kusoma Cyber Security mwaka 2020 tayari amehitimu. Leo anafanya kazi kwenye benki kubwa hapa Tanzania, na alianza na mshahara wa takribani TZS milioni 3 kwa mwezi.
Hii haimaanishi kila anayesoma Cyber Security ataanza na mshahara huoโlakini inakuonyesha aina ya fursa zinazoweza kufunguka ukiunganisha degree nzuri na skills nzuri.
Mzazi, kama una mtoto amemaliza Form Six na una uwezo wa budget ya kuanzia takribani TZS MILIONI 8 KWA MWAKA, njoo tuangalie options za Cyber Security India zinazoweza kujumuisha:
ADA + MALAZI + CHAKULA ๐ฎ๐ณ
Matokeo yametoka. Kama mtoto amekosa chuo alichotaka au amepata kozi ambayo hamjaridhika nayo, msione ndiyo mwisho wa safari.
Frank leo anaondoka. Kesho inaweza kuwa mtoto wako.
USICHEZEE HII NAFASI. ๐ฅ
Comment โCYBERโ tukutumie utaratibu wa kujiunga.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Neolife Building
Huyu ni Precious Alice Kimboka, amemaliza Bendel Memorial Secondary School, Moshi. Leo yupo airport anaelekea India ๐ฎ๐ณ, Lovely Professional University (LPU) kusoma https://t.co/Yl7vlGRqar FinTech & Artificial Intelligence.
Wachaga mwaka huu mmetushtua kidogo ๐. Watoto hawapelekwi kusoma Business ya kawaida tuโwanaunganisha FEDHA + TECHNOLOJIA + AI.
Na hapa ndipo wazazi wenye watoto waliomaliza EGM na ECA nataka mniskilize vizuri.
Matokeo ya selection yametoka. Wengine hawajapata vyuo walivyotaka, na wengine wamechaguliwa kozi ambazo mzazi akiangalia anauliza:
โHivi miaka 4 ijayo mtoto wangu atakuwa amebobea kwenye nini hasa?โ
Badala ya kukata tamaa, angalia programmes za kizazi hiki kama https://t.co/Yl7vlGRqar FinTech & AI.
Hii ni biashara na fedha zinazokutana na teknolojia. Mwanafunzi anaingia kwenye maeneo kama Digital Banking, Financial Technology, Artificial Intelligence, Data Analytics, Digital Payments, Automation na Financial Management.
Fikiria dunia ya benki, mobile money, digital lending, payment systems, insurance, investment platforms na biashara za mtandaoni inavyozidi kubadilishwa na technology.
Ndiyo maana kwa mzazi mwenye mtoto wa EGM au ECA, hii ni moja ya kozi ambazo ningekushauri kabisa uziweke mezani kabla hujafanya uamuzi wa mwisho.
Precious angeweza kuchagua kozi ya kawaida, lakini leo anaenda kujenga combination ya Commerce + Finance + Technology + AI.
Na kama mtoto wako amekosa selection au kapata kozi ambayo hamjaridhika nayo, bado hajachelewa.
๐ฎ๐ณ Admissions za India bado zinaendelea kupitia Akili Education, na kuna options zinazoanzia takribani TZS milioni 8 kwa mwaka โ ADA + MALAZI + CHAKULA, kutegemea chuo na programme.
Comment โFINTECHโ tukutumie maelezo ya udahili.
๐ 0793939320
๐ ITV Road, Neolife Building
Wachaga mmeamka sana mwaka huu jamani ๐๐ฅ Moshi mpo?
KOZI GANI NZURI KATI YA HIZI? ๐ค
Watanzania tusaidiane hapa, hasa wazazi na vijana wanaojiandaa kuingia chuo kikuu.
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kozi MOJA tu kati ya zilizopo kwenye picha, ungechagua ipi na kwanini?
Usikimbilie kujibu. Angalia dunia inakoelekea kwanza.
Kuna kozi moja hapo ambayo watu wengi wanaweza kuipita kwa sababu jina lake halina mbwembwe sana, lakini mimi ningeshauri muiangalie mara mbili:
Cybersecurity, Compliance & Risk. ๐
Hii si Cyber Security ya kujua kulinda mfumo pekee.
Kampuni inapokuwa na mifumo, data za wateja, miamala ya fedha na taarifa nyeti, haitoshi kusema โtuna security nzuri.โ
Inahitaji watu wanaoelewa:
Je, mifumo yetu iko salama?
Je, tunafuata sheria na kanuni?
Risk kubwa ya kampuni iko wapi?
Tukivamiwa, tunafanya nini?
Nani anawajibika kulinda taarifa?
Hapo ndipo Cybersecurity + Compliance + Risk inapokuwa taaluma muhimu sana.
Dunia inavyozidi kuwa digital, kampuni zinakutana na cyberattacks, data breaches, fraud na masharti makubwa zaidi ya kulinda taarifa za watu.
Benki wanahitaji watu hawa.
Telecom wanahitaji.
Insurance wanahitaji.
Serikali wanahitaji.
FinTech wanahitaji.
Hospitali, mashirika ya kimataifa na kampuni kubwa nazo zinahitaji wataalamu wanaoweza kuunganisha technology, security, regulations na risk management.
Na uzuri wake ni kwamba career yake haikupeleki upande mmoja tu. Mhitimu anaweza kujenga taaluma kwenye maeneo ya Cybersecurity Risk, IT Audit, Governance, Risk & Compliance (GRC), Information Security, Data Protection na mengine.
Hii ndiyo sababu tunawaambia wazazi kila siku:
Msichague degree kwa sababu jina lake mnalifahamu. Chagueni kwa kuangalia dunia itahitaji nini mtoto akihitimu miaka 3 au 4 ijayo.
Sasa turudi kwenye swali la picha. ๐
KATI YA KOZI HIZI, WEWE UNGECHAGUA IPI?
Andika jina la kozi kwenye comments na sababu moja tu ya kwanini umeichagua.
Tuone ni kozi gani itashinda kwa Watanzania. ๐ฅ
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
Ukiona mpaka CEO wa benki kubwa Tanzania anatoka hadharani kutangaza nafasi za kazi, ujue kuna kitu kimebadilika.
Majuzi, CEO wa NMB Bank alisema wazi kuwa wanahitaji watu wa Artificial Intelligence na Data Science. Kilichovuta watu wengi si kutaja AI pekee, bali pale aliposema kuwa hata kama huna degree, lakini una ujuzi, au umejifunza hata kupitia online, bado una nafasi.
Hapo ndipo tulipogundua jambo moja...
Dunia inaanza kulipa ujuzi kuliko cheti.
Ndiyo maana kwa miaka kadhaa sasa Akili Education tumekuwa tukipaza sauti kuhusu Artificial Intelligence, Cyber Security na Data Science. Si kwa sababu ni kozi mpya, bali kwa sababu ndizo kozi ambazo waajiri wanaanza kuzitafuta.
Pichani ni Flora kutoka Dodoma na Irene kutoka Mwanza.
Wote wawili wameanza safari yao kuelekea India kusoma Bachelor in Artificial Intelligence kupitia Akili Education.
Wakati wengine bado wanabishana kama AI ina future au haina, hawa wameamua kuwa sehemu ya kizazi kitakachoitengeneza future hiyo.
Ndugu mzazi...
Mtoto wako atasoma chuoni kwa miaka mitatu au minne, lakini ataishi na taaluma hiyo kwa zaidi ya miaka 30.
Usimchagulie kozi kwa sababu ndiyo uliisikia sana.
Mchagulie kozi kwa sababu dunia ndiyo inaianza kuihitaji.
Leo benki zinatafuta watu wa AI.
Kesho hospitali zitawatafuta.
Makampuni ya simu yatawatafuta.
Serikali itawatafuta.
Swali ni hili...
Mtoto wako atakuwa miongoni mwa watu wanaotafutwa, au miongoni mwa wanaotafuta kazi?
Kupitia Akili Education, mwanafunzi anaweza kusoma Bachelor in Artificial Intelligence nchini India kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.
Karibu Akili Education tumsaidie mtoto wako kusoma kozi ambazo soko la ajira litazihitaji kwa miaka mingi ijayo.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
Najua kuna watu watasema nimezidisha.
Lakini kabla hujapinga, jiulize swali moja...
Ni sekta gani duniani ambayo Artificial Intelligence haijafika?
Benki zinaitumia.
Hospitali zinaitumia.
Mashirika ya ndege yanaitumia.
Kilimo kinaitumia.
Mahakama zinaanza kuitumia.
Vyuo vikuu vinafundisha AI.
Na kampuni kubwa duniani zinawekeza mabilioni ya dola kwenye teknolojia hii kila mwaka.
Halafu sisi bado tunajiuliza kama AI ina future?
Jibu ni moja.
AI si future. AI ndiyo present.
Ndiyo maana wahitimu wa Bachelor in Artificial Intelligence wana nafasi za kazi kama:
โ AI Engineer
โ Machine Learning Engineer
โ AI Developer
โ AI Consultant
โ Data & AI Analyst
โ Robotics Engineer
Na habari njema ni kwamba hata mhitimu wa entry level katika masoko mengi ya kimataifa anaweza kuanza na mshahara wa takribani USD 60,000โ120,000 kwa mwaka, kutegemeana na nchi, kampuni na ujuzi alionao.
Wazazi wengi wanaweza kusema...
"Lakini Tanzania bado hakuna kazi za AI."
Swali ni hili...
Je, tunamsomesha mtoto kwa ajili ya Tanzania ya leo au dunia ya miaka 10 ijayo?
Na hata hapa nyumbani, ishara zimeanza kuonekana.
Kampuni zimeanza kutangaza kuwa zinahitaji wataalamu wa Artificial Intelligence na Data Science.
Huu ni mwanzo tu.
Miaka michache ijayo, AI itakuwa kama ilivyo Computer Science leo.
Atakayekuwa amejiandaa mapema ndiye atakayenufaika zaidi.
Kupitia Akili Education, mwanafunzi anaweza kusoma Bachelor in Artificial Intelligence nchini India kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.
Ndugu mzazi...
Mtoto wako atasoma degree moja tu.
Hakikisha hiyo degree inampeleka kwenye soko la ajira la kesho, si la jana.
๐ Wewe unaonaje? Kama ungepewa nafasi ya kumshauri mwanafunzi wa Form Six leo, ungependekeza asome kozi gani? Tuambie kwenye comments.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
Ukiona tabasamu la mwanafunzi akiwa ndani ya ndege kuelekea masomoni, ujue nyuma yake kuna miaka mingi ya ndoto, maombi na kujitoa kwa wazazi wake.
Pichani ni sehemu ya wanafunzi wetu 21, ambao kupitia Akili Education wameanza safari yao kuelekea nchini India kusoma kozi za kizazi kijacho kama Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, FinTech na nyingine nyingi.
Safari yetu haiishii kukupatia admission.
Haimaliziki baada ya kupata visa.
Ndiyo maana Mkurugenzi wa Akili Education ameambatana na wanafunzi hawa kuhakikisha kila mmoja anafika salama chuoni, anafanya registration na anaanza maisha yake mapya ya masomo bila changamoto.
Hiyo ndiyo tofauti ya Akili Education.
Tunawaongoza wanafunzi mpaka hatua ya mwisho.
Na si India pekee.
Kupitia Akili Education unaweza kusoma pia Malaysia, Dubai, UK, Canada, Spain, Cyprus na nchi nyingine nyingi kulingana na ndoto zako na uwezo wa kifedha wa familia yako.
Na leo tunataka kutoa habari njema kwa Watanzania.
Wiki ijayo timu ya Akili Education inaelekea Malaysia kufanya mazungumzo na vyuo vikuu kadhaa ili kupanua ushirikiano wetu na kuongeza nafasi za wanafunzi wa Tanzania.
Tunajua wengi wanaamini kusoma Malaysia ni kwa matajiri pekee.
Kwa kawaida gharama za masomo huko huanzia takribani milioni 25 kwa mwaka na kuendelea.
Lakini hiyo ndiyo sababu tunaenda.
Tunataka kuvunja bei.
Lengo letu ni kuhakikisha mzazi wa kawaida wa Kitanzania naye anaweza kumpeleka mtoto wake Malaysia bila kubeba mzigo mkubwa wa kifedha.
Tunafanya kazi kuhakikisha gharama za kusoma Malaysia zishuke na zikaribie za India, zikiwa katika kiwango cha milioni 8 hadi 15 kwa mwaka, ili vijana wengi zaidi wapate elimu ya kimataifa.
Hii ndiyo ahadi yetu.
Kufungua milango ambayo zamani ilionekana imefungwa.
Ndugu mzazi, usikubali mtoto wako akose fursa kwa sababu ya kukosa taarifa sahihi.
Karibu Akili Education tukushauri kozi bora, chuo bora na nchi bora kulingana na ndoto za mtoto wako na bajeti yako.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
Wazazi wakisikia kusoma vyuo vikuu nje ya nchi kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 kwa mwaka, huwa wanasita kidogo.
Wanauliza, "Hawa Akili Education wasije wakawa wanapeleka watoto wetu kwenye vyuo visivyotambulika au, Mungu apishe mbali, wanaenda kuuza watoto wetu huko ughaibuni?"
Na ukweli ni kwamba...
Hatuwalaumu.
Mzazi yeyote mwenye upendo kwa mtoto wake anatakiwa kuuliza maswali hayo.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa wazazi wa Mugisha.
Walifika ofisini kwetu wakiwa na hofu nyingi.
Swali lao kubwa lilikuwa moja...
"Je, hiki chuo kinatambulika kweli?"
Hatukuwaambia waamini maneno yetu.
Tuliwaonyesha ushahidi.
Kwanza tulimsaidia Mugisha kupata NOC kutoka TCU, barua rasmi inayoonyesha kuwa ana sifa za kusoma kozi hiyo na kwamba chuo anachoenda kinakubalika kwa utaratibu unaohusika.
Lakini bado hatukuishia hapo.
Tulipowaonyesha kuwa tayari tuna zaidi ya wanafunzi 8 wanaosoma katika chuo hicho hicho nchini India, hofu yao ilianza kutoweka.
Ndipo safari ya Mugisha ikaanza rasmi.
Leo pichani mnamuona akiwa na wazazi wake Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akielekea kutimiza ndoto yake ya kusoma Bachelor in Optometry.
Jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba Tanzania hakuna Bachelor in Optometry; kwa sasa ipo zaidi katika ngazi ya diploma.
Ndiyo maana baadhi ya vijana wenye ndoto kubwa hulazimika kutafuta elimu hiyo nje ya nchi.
Na hiyo ndiyo kazi ya Akili Education.
Si kukutafutia chuo tu.
Bali kukupa taarifa sahihi, kukuonyesha ushahidi, kukusaidia kwenye mchakato wote mpaka mzazi akuage akiwa na amani moyoni.
Leo Mugisha anaondoka.
Kesho inaweza kuwa zamu ya mtoto wako.
Ndugu mzazi, usiogope kuuliza maswali.
Na sisi hatutachoka kukupa majibu yenye ushahidi.
Karibu Akili Education tukusaidie mtoto wako kupata elimu ya kimataifa katika kozi za mwaka wa mbele kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, inayojumuisha ada, malazi na chakula.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
Watanzania, kaeni mkao wa kula. Akili Education tunakuja!
Kwa miaka mingi mzazi wa Kitanzania akisikia mtoto anataka kwenda kusoma Malaysia, kitu cha kwanza kinachokuja kichwani ni gharama.
Milioni 30, 40 mpaka zaidi kwa mwaka.
Kwa familia nyingi, hapo ndipo ndoto inaishia.
Lakini sisi Akili Education tumejiuliza swali moja...
Kwanini elimu bora ya Malaysia ibaki kuwa fursa ya watoto wa familia chache zenye uwezo mkubwa pekee?
Ndiyo maana safari imeanza.
Muda huu Balozi wetu Maulid Kitenge yupo njiani kuelekea Malaysia kwa mission moja kubwa:
KUVUNJA BEI. ๐ฅ
Tunakwenda kukutana na vyuo vikuu, kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, kutafuta scholarships na kujenga partnerships zitakazowezesha Watanzania kupata elimu bora Malaysia kwa gharama nafuu zaidi.
Na hatutaki kuishia kuangalia brochures.
Tutakwenda vyuoni wenyewe.
Tutaangalia mazingira ya kusomea.
Tutaangalia hostels.
Tutaangalia kozi zao.
Tutazungumza na management.
Na tutawaonyesha Watanzania kila kitu tutakachokikuta huko.
Tunataka Malaysia iwe destination nyingine kubwa kwa wanafunzi wa Akili Education wanaotaka kusoma Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, Engineering, Business, Health Sciences na kozi nyingine za mwaka wa mbele.
Kama tuliweza kuwafungulia Watanzania milango ya India kwa gharama ambazo zamani zilionekana haziwezekani...
Sasa macho yetu yapo Malaysia. ๐ฒ๐พ
Hatuwezi kuahidi bei kabla mazungumzo hayajakamilika.
Lakini tunaweza kuwaahidi kitu kimoja:
TUNAENDA KUPAMBANA NA BEI.
Siku chache zijazo tutaanza kuwaonyesha vyuo, kozi, mazingira na gharama tutakazofanikiwa kupata.
Kwa hiyo mzazi au mwanafunzi uliyekuwa unatamani Malaysia lakini ukakatishwa tamaa na gharama...
Usiondoke hapa. Kaa mkao wa kula.
Safari ndiyo kwanza imeanza. ๐ฅ
๐ Comment โMALAYSIAโ kama unataka tukupe taarifa za kwanza kabisa kuhusu vyuo na bei tutakazokuja nazo.
๐ 0793939320
๐ Akili Education, ITV Road โ Jengo la Neolife
๐ฒ๐พ Tukutane Malaysia. Akili Education tunakuja!
Wakati baadhi ya wazazi wa Dar es Salaam bado wamelala wakiamini kuwa kusoma nje ya nchi ni kwa watoto wa matajiri pekee, wazazi wa mikoani wameamka!
Kutoka Mwanza, Arusha, Singida, Dodoma, Mbeya na mikoa mingine, wazazi wanasafiri hadi uwanja wa ndege kuwasindikiza watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi.
Hawaoni tena kwenda kusoma India, Dubai, Malaysia au nchi nyingine kama anasa. Wamegundua kuwa ni uwekezaji unaoweza kumwandaa mtoto kwa soko jipya la ajira duniani.
Ndiyo maana watoto unaowaona kwenye video hii hawajaenda kusoma kozi za kawaida. Wamechagua kozi zinazotawala dunia ya sasa na zijazo kama:
Cyber Security, Data Science, Artificial Intelligence, Computer Science, Software Engineering na nyingine nyingi.
Wazazi hawa wameelewa kuwa dunia inabadilika kwa kasi.
Leo karibu kila benki, hospitali, kampuni ya mawasiliano, taasisi ya serikali na biashara binafsi inahitaji wataalamu wa teknolojia, data na usalama wa mifumo.
Cha kushangaza ni kwamba baadhi ya wazazi wa mikoani walifika Akili Education wakidhani kusomesha mtoto nje ya nchi kunahitaji zaidi ya milioni 30 kwa mwaka.
Baada ya kupewa maelezo, waligundua kuwa katika baadhi ya nchi mtoto anaweza kusoma, kuishi hostel na kupata chakula kwa bajeti inayoanzia milioni 8 kwa mwaka.
Kusoma nje ya nchi si suala la kuishi Dar es Salaam. Ni suala la kupata taarifa sahihi, kuchagua kozi yenye nafasi za baadaye na kuanza maandalizi mapema.
Mzazi wa Mwanza, Arusha, Singida, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Kagera, Geita, Tabora na mikoa mingine, huna haja ya kuhama mkoa ndipo mtoto wako apate nafasi. Akili Education inaweza kukuhudumia ukiwa popote Tanzania.
Tutakusaidia kuchagua nchi, chuo na kozi inayolingana na uwezo wa mtoto pamoja na bajeti yako. Pia tutasimamia application, admission, visa, maandalizi ya safari na kumpokea mwanafunzi anapofika katika nchi anayoenda kusoma.
Kama una mtoto aliyemaliza Form Four, Form Six, Diploma au Bachelor, usisubiri nafasi za kawaida zimfanye apoteze ndoto zake. Tutumie matokeo yake tukufanyie ushauri wa kozi na gharama bila kupoteza muda.
Wazazi wa mikoani mmeamka, sasa ni wakati wa kuwapa watoto nafasi ya kushindana duniani.
๐จ LEO GROUP TUMEONGELEA FREE EDUCATION IN GERMANY ๐จ
Watanzania wengi hawajui kwamba inawezekana kusoma nchini Ujerumani bila kulipa ada kubwa za chuo kama ilivyo kwenye nchi nyingi za Ulaya na Amerika.
Na wachache wanaojua jambo hilo...
Hawajui ukweli wote.
Wengi wanaamini:
โ Ukifika Germany kila kitu ni bure
โ Serikali inakulipia kila kitu
โ Huhitaji kuwa na pesa yoyote
โ Kila mtu anapata visa
โ Kila mtu anapata kazi
Lakini ukweli ni tofauti kabisa.
Ndiyo maana leo ndani ya Group letu la WhatsApp tumetumia muda kuelezea:
๐ฉ๐ช Elimu ya bure Germany ni nini hasa
๐ฉ๐ช Nani anaweza kuipata
๐ฉ๐ช Blocked Account ni nini
๐ฉ๐ช Gharama halisi za maisha Germany
๐ฉ๐ช Ukweli kuhusu kazi za wanafunzi
๐ฉ๐ช Mambo ambayo mawakala wengi hawaambii wanafunzi mapema
Tatizo kubwa si kukosa fedha.
Tatizo kubwa ni kukosa taarifa sahihi.
Na mara nyingi taarifa moja sahihi inaweza kukuokoa:
โ Kupoteza miaka kadhaa
โ Kupoteza mamilioni ya shilingi
โ Kuchagua nchi au kozi isiyokufaa
Ndiyo maana tumeanzisha Group letu la Pili la WhatsApp baada ya lile la kwanza kujaa, kwa ajili ya wazazi, wanafunzi na wahitimu wanaotaka kupata taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi makubwa ya elimu.
Ndani ya Group utapata:
โ Uchambuzi wa kozi mbalimbali
โ Scholarships updates
โ Taarifa za vyuo duniani
โ Career Guidance
โ Admission na Visa Updates
โ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
Na kama hiyo haitoshi...
Ukijiunga utapata pia vitabu vyetu vitatu bure:
๐ Kozi za Afya Zinazolipa Zaidi Duniani
๐ Kozi Wanazosoma Watoto wa Matajiri
๐ Mambo Usiyoyajua Kuhusu Vyuo Vikuu Nje ya Nchi
Kuna watu hulipa mamilioni kupata taarifa hizi kupitia consultation.
Sisi tumeziweka sehemu moja ili kila mzazi na mwanafunzi aweze kufanya maamuzi sahihi.
๐ฐ Gharama ya kujiunga ni TSh 100,000 tu kwa mwaka
๐ Comment neno โGROUPโ tukutumie muongozo wa kujiunga na Group letu la Pili.
Kwa maelezo zaidi, tuma ujumbe mfupi whatsapp: 0793939320
Follow @AkiliEducation
Akili Alumni Marathon 2026 sio tu mbio za kawaida bali ni harakati ya kitaifa inayolenga kukusanya Dola za Marekani milioni 1.2 ili kufadhili Wanafunzi 100 wa Kitanzania kusoma kozi zenye mahitaji makubwa duniani kama Artificial Intelligence, Cyber Security na Blockchain Technology.
Kingine kinachofanya tukio hili kuwa la kipekee zaidi ni azma ya kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) kwa kuwa na Washiriki kutoka Mataifa mengi zaidi jambo ambalo halijawahi kufanywa na Marathon yoyote hapa Nchini ambapo tayari maandalizi haya yameanza kuvutia nje ya mipaka na yameshaandikwa kwenye magazeti zaidi ya mawili makubwa Marekani.
Marathon hii pia itaongozwa na Mgeni rasmi, Profesa Adolf Mkenda ambaye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, akionyesha uzito wa tukio hili kwa Taifa ambapo kwa kushirikiana na @akilieducation Waandaaji wa marathon hii, Vyuo vikuu zaidi ya 100 kutoka Nchi mbalimbali duniani vinatarajiwa kushiriki vikileta fursa za scholarship, udahili na ushauri wa masomo ya nje hili likiifanya kuwa nafasi adimu kwa Wazazi, Wanafunzi wa Sekondari na Vyuo, pamoja na alumni na Wakimbiaji wote.
Jisajili mapema uthibitishe nafasi yako, kwa mbio za KM 5, 10 na 21 kwa malipo ya shilingi elfu 50 tu, Leaders Club Dar es salaam, LIPA NAMBA ni 43029299 MIXX BY YAS, baada ya malipo tuma WhatsApp: +255 759 125 077 au unaweza kujisajili moja kwa moja kupitia
๐ https://t.co/th86VfxIrd
Akili Alumni Marathon 2026 sio tu mbio za kawaida bali ni harakati ya kitaifa inayolenga kukusanya Dola za Marekani milioni 1.2 ili kufadhili Wanafunzi 100 wa Kitanzania kusoma kozi zenye mahitaji makubwa duniani kama Artificial Intelligence, Cyber Security na Blockchain Technology.
Kingine kinachofanya tukio hili kuwa la kipekee zaidi ni azma ya kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) kwa kuwa na Washiriki kutoka Mataifa mengi zaidi jambo ambalo halijawahi kufanywa na Marathon yoyote hapa Nchini ambapo tayari maandalizi haya yameanza kuvutia nje ya mipaka na yameshaandikwa kwenye magazeti zaidi ya mawili makubwa Marekani.
Marathon hii pia itaongozwa na Mgeni rasmi, Profesa Adolf Mkenda ambaye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, akionyesha uzito wa tukio hili kwa Taifa ambapo kwa kushirikiana na @akilieducation Waandaaji wa marathon hii, Vyuo vikuu zaidi ya 100 kutoka Nchi mbalimbali duniani vinatarajiwa kushiriki vikileta fursa za scholarship, udahili na ushauri wa masomo ya nje hili likiifanya kuwa nafasi adimu kwa Wazazi, Wanafunzi wa Sekondari na Vyuo, pamoja na alumni na Wakimbiaji wote.
Jisajili mapema uthibitishe nafasi yako, kwa mbio za KM 5, 10 na 21 kwa malipo ya shilingi elfu 50 tu, Leaders Club Dar es salaam, LIPA NAMBA ni 43029299 MIXX BY YAS, baada ya malipo tuma WhatsApp: +255 759 125 077 au unaweza kujisajili moja kwa moja kupitia
๐ https://t.co/th86VfxIrd
Has Any Expo Ever Guaranteed You Real Admissions, Not Just Foot Traffic?
Dear International Admissions Team,
Most education expos promise visibility. Very few deliver serious, ready-to-apply students.
On 6 April 2026, the Akili Alumni Marathon & Global Universities Expo in Dar es Salaam is being built differently, as a national-scale platform designed to connect universities directly with one of Africaโs fastest-growing outbound student markets.
Tanzania has one of the youngest populations on the continent, yet only about 50 accredited universities locally. Every year, thousands of qualified students actively seek opportunities abroad in high-demand fields such as Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, Health Sciences, and Business.
This is where the Akili Alumni Marathon becomes uniquely powerful.
Unlike traditional hotel expos with uncertain turnout, this event is anchored to a mass public marathon expected to attract:
โข 3,000โ5,000 runners
โข 7,000โ10,000 students and parents
โข 50โ100 global universities
โข A live Guinness World Record attempt driving national media attention
More importantly, participating universities are positioned in front of a high-intent audience, including Tanzanian alumni who studied abroad, Form 6 graduates, diploma holders, and parents actively planning international education pathways.
Our goal is simple: serious conversations that convert into real applications. Many participating universities will typically see 5+ qualified admissions opportunities from this market when properly engaged.
With Hon. Prof. Adolf Mkenda, Minister of Education, Science and Technology confirmed
as Guest of Honour, the event carries strong national credibility and visibility.
If your institution is looking for:
โ A proven East African student pipeline
โ High-visibility positioning in a national event
โ Direct engagement with decision-ready families
โ Long-term brand presence in Tanzania
โ then this is the room you want to be in.
University/ Partner participation packages:
โข Standard Package โ USD 3,000
โข Premium Package โ USD 5,000 (Guaranteed 5 admissions on the next intake or full refund)
โข Scholarship Partner โ One Full Scholarship
๐ Secure your universityโs participation:
Visit https://t.co/Lhj08FgM2Y and click โUniversities: Register Here.โ
Spaces are limited, and early partners receive priority visibility in the national media rollout that starts immediately after confirming your participation.
We look forward to welcoming your university to Tanzania.
Akili Alumni Marathon Organizing Team
Dar es Salaam, Tanzania
๐ง [email protected]
๐ฑ +255759125077 (Whatsapp and international calls)
Donโt attend another expo that just finishes your brochures. Attend the one that gives you students. ๐
Also featured in the national newspaper mwananchi: https://t.co/xBI4gSOAiA
Also featured in the NewYork Review Magazine:
https://t.co/hzG74q2rOF