#HabariNjema...WAFANYIE WATU MEMA, WATAKIE AMANI! ESTA 10....Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani. Matendo yake yote makuu na ya ajabu, pamoja na simulizi kamili kuhusu jinsi alivyompandisha cheo Mordekai na kumtunukia heshima kuu. #Milelegospelsunday