🇹🇿 Meanwhile in Tanzania, Clatous Chama just put his name in the ring for the 2026 Puskas award.
The Zambian baller pulled off an absolute MADNESS in the Kariakoo Derby. 🇿🇲😮💨
Kuna ndoto, fursa, na mawazo mema yamekufa kutokana na kuogopa kuchekwa au kushindwa. Changamoto zipo katika hatua zote uwe unaanza au upo kileleni.
Usiogope kushindwa, kukataliwa, hata huo mlango uliobisha jioni wakasema tumefunga rudi kesho asubuhi utakuta alama ya "Push".
Good morning. Wishing you a happy and special week ahead!
#busworldtanzania#LoliondoCoach
-------------------------------------------------
🚍 Musa Investment and Automotive Parts for gunuine and quality spare parts for chinese buses and trucks.
☎️ +255 745 333 366 | IG : @musa_investment_autoparts
🌏 Online Booking powered by 𝘉𝘶𝘴𝘣𝘰𝘳𝘢. https://t.co/iF7bBMFuXh App : https://t.co/ThhceKunvQ
🥇Make your business outstanding by advertising with us +255715 575 575
Image credit 📸 : @PiereTouch
#busbora #MusaInvestment
𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪𝗜𝗡𝗚 𝗨𝗦
@julip202 4. Utanashati, mara zote kuwa katika mwonekano nadhifu, itakujengea kujiamini.
5. Busara, sanaa ya kuongea inahitaji msikilizaji mzuri na mpembuzi wa mambo kwasababu ya hasi na chanya ( watu tupo kukosoa).
@julip202 3. Jifunze kitu kipya kabla na baada ya mazungumzo yenu. Tafuta taarifa sahihi hii ni tiba ya kupata usikivu wa hadhira, watu wanataarifa juu ya jamii yao katika nyanja zote kwahiyo wanahitaji mtu wa kuongeza kitu au kung'amua kipi ni kipi.