The eyes of your understanding being enlightened; that ye may know what is the hope of his calling, and what the riches of the glory of his inheritance in the saints, Ephesians 1:18
Waefeso 1:18 macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo.
Shule: Swali moja lina jibu moja kati ya options ulizopewa uchague.......
Maisha: Swali moja lina majibu mengi mno ili kupata suluhisho la maisha....
Check out Elimu isiku-program mind yako kwenye option moja ya jibu