Baba Esta. Kelele na Lawama za Ubaya ubwela zinaishia kwako kwasababu kwenye mechi muhim za Offside zimekuwa zinabaki kwako. kuwa sehem ya kuzingatia kwenye hilo Leo Zibebe tu Lawama zetu
@CloudsMediaLive Nadhani Ifike Mahali Watanzania Tuache Kujitekenya tukitegemea Tutaangua kicheko. Kuwa kwenye form kunaweza kukufanya uonekane bora lakini Usiwe na Uzowefu.
Mechi ya Mwisho ya Feisal Ilikuwa ni Lini. Kapombe kwenye kikosi bora Cha Week alafu kwenye Timu ya Taifa Hewa