@FKihamu Ingependeza sana kama vilabu vyetu vikubwa vingekuwa na ultras kwa ajil ya ushangiliaji, vinaleta hamasa kwa wachezaj na wapenzi wa vilabu hivyo
@rollymsouth Mimi sioni shida hapa, ndoa ni makubaliano ya watu na hilo ni pendekezo lao sio amri kwamba kila Binti wa miaka 14 lazima aolewe. Incase ikitokea akitaka kuolewa wazazi wakaridhia kusiwe na pingamizi la ulazima wa miaka 18. Hulazimishwi kuoa wala kuolewa