@mwigulunchemba1 Hiii nafasi sio yako kabisa kabda ujawa waziri nilikuwa nakuona mpambanaji mpka nikawaza ungekuwa rais lakini zero kabisa wewe badoh sisi ni masikini badoh hatuna hajira alafu tunakatwa pesa za kijinga
@SuluhuSamia TOZO ZIPO JUUUUUU HAJIRA HAKUNA TUMEJIAJIRI MWISHO WA SIKU WATU WA KUWEKA HAKUNA IVI RERIKALI IMESHINDWA KUWEKA 100 KWENYE KILA MUAMALA MMOJA ITAVUNA PESA NYINGI NA HAKUNA MTU ATALALAMIKA KABISA WANAKUPOTEZEA CV KABISA HAWA VIONGOZI WA CHINI WANANCHI WANAKUANGALIA WEWE MAMA
@SuluhuSamia Mama tunapotea vijana tunakosa ajira kwa vitu vya ajabu tozo kubwa sanah mtaaani wangeweka hata 100 kila muhamala mmoja hakuna mwananchi angelalamika kabisa lakini waziri wa fedha anataka pesa nyingi kwa wakati mmoja
@SuluhuSamia 8H115O14VOR Imethibitishwa tarehe 1/8/21 saa 9:37 PM Pokea kiasi cha Tsh16,000.00 kutoka kwa 010749 - ARIKADO ERASTO NTILINIGA Jumla ya Ada Tsh2,060.00 (M-Pesa Ada Tsh1,450.00 + TOZO ya Serikali Tsh610.00). Salio ni Tsh304.20.