@bobmanara97@Maestrowafact Na hakuna sehemu inasema rais aende na mtoto wake aliemteua na asie na kazi yoyote ya kidiplomasia eti akawe mfariji ili raisi asiwe mpweke.
Watu wanahoji juu ya gharama zinazotumika kusafirisha hao kwenye ziara za kikazi ni Kodi za wananchi?