Nimestushwa na kitendo hichi. NALAANI utamaduni wa kuwashambulia waandishi wakati wakitimiza majukumu yao. Naamini vyombo vitachukua hatua zinazostahili, kwani sidhani kama ni ngumu kuwapata waliofanya tukio hili kwasababu eneo na kazi walizokwenda kufanya Waandishi zinajulikana.