@MariaSTsehai Tushike lipi sasa, mfano leo ameonekana so anaweza kuendesha nchi? Nadhani uwe una focus, hii samia yuko wapi haikua na maana yoyote. Focus focus
@IAMartin_@fbuyobe Hizo masaa 48 nani nani ambaye hajui ni illegal kukaa na mtuhumiwa mda wote bila kumfikisha mahakamani?? Na kila kukicha linafanyika, litaisha lini?? Nani atatutetea?, na hatuna pa kwenda. Tuko vibaya sana
@IAMartin_@fbuyobe Tumefika pabaya, mtu anachukuliwa, anapotea watu tuta paza sauti free free, few days tunasahau, ni kama vifaranga mwewe anajichagulia amyakue yupi, hatuna pa kukimbilia kwakweli. Tuko vibaya
@rollymsouth Hata kama kungekua na huyo wa kuridhiana nae, kwann unaaribu kwa makusudi kabisa kwa kutegemea maridhiano baadae? Hii trend ya kuharibu then maridhiano itaisha lini.
@Jambotv_ Endeleeni kushupaza shingo. Badala ya kutatua changamoto mnaleta propaganda. Hamna mtu anaeendeshwa na mtu mwengine, mara zote hao waliotoka walitoka kwa akili zao na madai yao
@IAMartin_@ExMayorUbungo Hawa jamaa wanakosea big time, sijui wanafanya on purpose au hawajui ku analyse mambo. Ila tumefika pabaya mnoo. Ni wazee wa hekima wastaagu tu wataweza kuokoa hii situation.
@MKikoba@HecheJohn Kwahiyo wewe mboga mboga, watu kutekwa ni sawa tu unachowaza ni kutiki tu. Paza sauti kuchukua uhai au kuteka kisa mtu ni mpinzani sio sawa.