Kwenye Thieves of State, Sarah Chayes anasimulia kisa kimoja kule Nigeria.
Anasema siku moja Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aligundua kwamba mauzo ya mafuta yameongezeka sana lakini haoni mapato.
Katika kuchunguza akagundua zaidi ya dola Bilioni 20 za mauzo ya mafuta zilikuwa zimepigwa.
Jamaa akaagiza Benki zote zifanye auditing kwenye vitabu vyake ili kuelewa hiyo pesa imepitishwa wapi mpaka kupotea.
Baada ya kuchunguza akagundua kuwa pesa ilikuwa inaibiwa na Rais Goodluck Jonathan ambaye alifungua kampuni 20 za kimagumashi na kuzitumia kuiba pesa.
Kabla Gavana hajakaa sawa akapigwa chini, wasaidizi wake kibao wakapakaziwa kesi za kutosha, na kabla umma haujata taarifa fasta ikasikika kundi la Boko Haram limeteka mabinti 276.
Skendo ikaishia hapo hapo.
Tarehe 15 July 2013 alisafiri kwenda wilayani Ikungi mkoni Singida kwenye machimbo ya dhahabu maarufu kama London
Alikaa kule hadi tarehe 10 August 2013 akarudi nyumbani kwangu Arusha.
Tarehe 11 August 2013 majira ya saa mbili usiku akapokea simu kutoka kwa OCS wa Mirelani.
Kama unatafuta kufanya PhD Marekani⬇️
Kama unatafuta nafasi ya kuja kusoma Marekani kwa ngazi ya PhD, moja ya kitu muhimu kabisa ni kufahamu aina ya vyuo.
Marekani kuna vyuo vya PhD vya aina tatu: Tier One (High Research Intensive), Tier Two (Research Intensive), na *Tier 3 (PhD Universities).
Ukitaka mentorship iliyojitosheleza kwenye tafiti pamoja na scholarship kirahisi, tafuta nafasi Tier One, ikishindikana nenda Tier Two. Hivi ndio vyuo vyenye pesa na resources nyingi; ndio vyuo vyenye tenured professors wengi wanaolipwa kufanya tafiti.
Kama hauna haja sana na tafiti wala resources, *Tier 3 inaweza kukufaa.
Good luck!
MANSA MUSA MTU TAJIRI ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI:
Mansa Mussa Alikuwa Mfalme Wa Mali kuanzia mwaka 1312 hadi mwaka 1337.
Alizaliwa mwaka 1280 na lipewa jina la "Mansa" likimaanisha mfalme wa wafalme, sababu alitawala ufalme mkubwa Afrika, uliojulikana kama "Malike Empire"..
.
SWEET DEAL
Kagera Sugar, which is owned by Tanzanian businessman Ali Seif Ali, will acquire the assets of Tongaat Hulett, a South African sugar producer
The deal, whose value has not been publicly disclosed, will involve the acquisition of Tongaat's complete sugar division in South Africa and its sugar businesses in Zimbabwe, Mozambique and Botswana
Tongaat has 4 mills in South Africa with an installed capacity to produce more than 1 million tons of sugar per annum
On the other hand, Kagera Sugar, which produces around 120,000 tons of sugar a year in Tanzania, also has business interests in the Democratic Republic of Congo (DRC) and the Middle East where it owns sugar assets and refineries
FOR TZ STUDENTS, Dr. Sando will have a recruitment session at UDSM, CoET Block B04 Room 206 on Friday, June 23, 5 pm. Students with excellent academic records and want to pursue Masters and PhD in Transportation), Computer Science and Mathematics are encouraged to attend.
Mali in West Africa was the richest Empire on Earth in the 14th century.
Some of the richest men in the world today are tech billionaires and business leaders from the West and China. However, the title of “richest man who ever lived” goes to a little-known ancient ruler
Check out my latest article: Repositioning of Oil and Marketing Companies in Tanzania: The case for the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) https://t.co/XAWjpepdxI via @LinkedIn
Kuna siri nyingi zimefichwa kwenye soko la biashara ya simu na Laptop...
Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa,
Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua laptop, ili usije ukaingia Chaka ukajuta,..
Kama mimi yalivyonikuta miaka kadhaa iliyopita...
🧵👇🏾