Natimiza MIAKA 29 leo.
Nimezaliwa 17.1.1997 siku ya IJUMAA saa 4 asubuhi huko hospitali ya “META MBEYA”. Katika umri wangu huu namshukuru MUNGU nimeweza kupitia mengi na kuona mengi ambayo kwangu yamekuwa kama DARASA la maisha.
Nimejifunza masomo mazuri sana “HAKI” na kutafuta “FINANCIAL FREEDOM” ukiwa navyo hivi viwili utaishi duniani kwa AMANI ya kweli na sio ya KUCHONGESHA.
Naamini katika HAKI na siku zote HAKI YA MTU HAIPOTEI. Wewe kama HAKI YAKO imenyimwa nikutie moyo ipo siku utaipata HAKI YAKO ni suala la MUDA TUU.!
Happy birth day to Me.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎