KUPOTEZA lisiwe neno sahihi kwa mtu yeyote ambae bado anapumua.
Haijalishi gharama au thamani iliyopotea neno sahihi la kutumia ni KUJIFUNZA KWA GHARAMA KUBWA. ✊🏽
@MarekaMalili Serious bro mie nina 27 now sio mzee hahha, najifunza vingi ,kila day naingia X kutizama maneno( motivation) zako I like it ,naweka status wasap daily
Dear Customers! Ukishanunua TV mpya toa hii karatasi ya juu..
Unapoendelea kutumia ikiwepo unafanya screen inapata joto zaidi kitu ambacho sio salama sana.
Call/Whatsapp 0716006808 tuambie ulipo tukuletee na tukutolee kabisa.
@ReganTesla_ Kitu ambacho nakiwazia na nakifanyia kazi kila kukicha ,nasema zaidi na mola wangu yeye ndo anae alie nipa na ambae anaendelea kunipa , imani yangu ,tuwe amoja na mungu