Leo nimenotice kuna madem huwa wanapata watoto na some niggers juu they’re handsome ndio Ati wakuwe attractive wakizaliwa. I don’t know what to say. Sisi mambas tutatoboa huko?
Kuna shamba mzae akibuy wakati wa Kibaki but ilikuwa bado kufanyiwa succession na aliwahangaisha walalahoi sana. Almost the whole family land , 5 acre aliwapea 300k back then..
Nimeona sahii kuna kijana wa huyo mzee amesoma na amechanuka.
Kuna uwezekano tutafunga virago moja kwa moja hadi kwa ancestral land juu hii pande hakuna Tittle deed