@citizentvkenya Sikukuu ya akina Mama. Nawatakia akina mama wote Happy Mother's Day kote Duniani. Mama ni mguzo muhimu katika jamii yoyoye ile, hivyo basi tunapaswa kuwathamini ba kuwasheherekea
Kenya power wanafanya mzaha na umeme. Hii hali ya umeme kuwaka na kuzimika inaweza kulete madhara kwa maisha na Mali ya watu. Tafadhalini hebu angalieni kuna nini inasababisha huu sarakasi ya umeme
@KenyaPower_Care there is a power surge taking place around marcus garden apartment on marcus garvey road kilimani. Is there ongoing repairs taking place?
There was loss of power this morning