Spika wa Bunge Job Ndugai akimuapisha Balozi Libereta Mulamula kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Balozi Mulamula ni Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mbunge wa Mchinga @mh.salmakikwete na Mbunge wa Chalinze @ridhiwani_kikwete wakila kiapo cha uaminifu @bunge.tanzania @ Bunge la Tanzania https://t.co/oJuJorGmBw