This is George Mbugua who works for Nairobi County as an inspectorate officer (Kanjo) Juzi ju alikuwa Off yeye hupenda kukaa hizi base za Miraa sasa hakuwa na pesa enough..akatoka iyo base akienda kwa hao akapatana na girlfriend wake mwenye alikuwa amemuweka akitoka kibarua ya kufua nguo akamuitisha pesa na nguvu.. dame akumuambia hajalipwa but atalipwa jioni.. Jamaa akajam akanyanganya dame mtoto wake wa six months (George is not the biological father of the baby.) after kuchukua mtoto akaambia mamake Huyu nitakupea ukinipea pesa. Jamaa akaenda na mtoto kwa hao akamgonga kwa kichwa mtoto akakufa. Dame aliogopa kufuata Jamaa ju Huwa Jamaa ako violent na Sio Mara ya kwanza kumchapa.. so dame alitafuta sister yake waende pamoja.. kufika kwa hao wakapata mtoto ameanguka kwa floor na haongei.. Jamaa nayeye alikuwa amepotea na akaacha ameharibu kila kitu kwa nyumba na kuharibu nguo za huyo girlfriend wake. Wakapeleka mtoto hosi kufika wakaambiwa mtoto alishakufa. They reported the matter but the parents of George facilitated the hiding of their son. Police are on the matter. Hii ni mbayaa Huyu Jamaa anafaa apelekwe Sayuni