Utachagua wewe upambane na kanji kwa wiki utengeneze laki tatu kwa formula nzuri au ukaajiliwe uwe mtu mishi wa uma ulipwe laki tatu kwa mwezi
Mm allen kwa akili timamu ni bora nipambane na muindi yani kubeti na mm mpaka niwe tajiri π€£π€£π€£
@MaxTz255_ Ukiangalia kwa mapana na unene zaidi mungano unawanufaisha Sana zanzibar kuliko TZ kwa sababu za factor zote za kiuchumi,kisiasa na kijamii kwa ujumla yani zina wabeba wanzazibar sana