Ep2. Je wajua? Mwanzo sheria ya ushirika ilitambulika kama “The Cooperative Societies Act, No. 6 of 2013”, lakini katika toleo lililorekebishwa sasa na kuchapishwa mwaka 2025 inatajwa kama “The Co-operative Societies Act, Cap. 211, Revised Edition 2023.”
JE WAJUA?
EP.1
“Ushirika” Tz🇹🇿 ulianza kutambulika mwaka 1925, Mkoa wa Kilimanjaro, wakiongozwa na machifu wao waliunda Umoja ulioitwa “KILIMANJARO NATIVE PLANTERS ASSOCIATION (KNPA) na baadae ikapewa jina jipya mwaka 1932 na kuitwa KILIMANJARO NATIVE CO-OPERATIVE UNION (KNCU)
Bukoba Native Coffee Cooperative Union 1950 ambayo baadae ilibadilishiwa usajili na kuitwa KCU 1990, na chama kilichoitwa Ngoni-Matengo Co-ooerative marketing union (NGOMAT) 1936 Songea ambayo ilipewa usajili mpya rasmi 1991.
Chanzo: “Ushirika na ujenzi wa uchumi wa kisasa”.
JE WAJUA?
EP.1
“Ushirika” Tz🇹🇿 ulianza kutambulika mwaka 1925, Mkoa wa Kilimanjaro, wakiongozwa na machifu wao waliunda Umoja ulioitwa “KILIMANJARO NATIVE PLANTERS ASSOCIATION (KNPA) na baadae ikapewa jina jipya mwaka 1932 na kuitwa KILIMANJARO NATIVE CO-OPERATIVE UNION (KNCU)
Ambapo kutokana ba umhimu wa KNPA, ilianzishwa vifungu vya sheria ya Ushirika ili kupitishwa uwepo wake mwaka 1932 (Co-operative Ordinance Cap 211) na hapo ndo chama cha kwanza cha ushirika kikasajiliwa Tanzania kwa jina la KNCU 1939, na baadae vikawepo vyama kama BNCCU) yaan..
Marc Cucurella has now scored more goals across all competitions than any other Premier League defender this season (7).
And they've all come at Stamford Bridge. 🏟️
“It always seems impossible until it is done.
Because the mountain looks too high, the journey too long, the obstacles too many. Doubt whispers louder than hope, and the world may not believe it can change. But with courage, perseverance, and faith in justice,
“N. Mandella”🇹🇿