@WilliamBonipha1@millardayo Magereza wanahesabu usiku na mchana masaa 24 ni siku 2 ukitumikia 1/3 unaanza kuangaliwa mwenendo wako kutokana na ukubwa wa kosa pia unaweza kupata msamaha
@life_of_muu@EngMapundajr Unaongea vitu hujui unajua sifa ya mtu mfano kuwa waziri anatakiwa kuwa mbunge tu na mbunge anaweza kuwa wa kuchaguliwa ama kuteuliwa na sifa ya mbunge ni elimu awali yaani KKK kusoma, kuandika na kuhesabu 🤭
@chapo255 Mkemia asome shule ya vidudu mpaka chuo aende mafunzo ya vitendo breweries wamlipe mshahara na marupurupu kibao atoe kitu kikali waandike kunywa kistaarabu sababu huna hela hapa wala nyumbani unywe kama maji halafu figo na Ini zitulie? Nimeona kapost eeeh mungu nisaidie mimi 😎
@life_of_muu@EngMapundajr Uongo ni upi hapo kaka? Mimi nimekuoa katiba inavyosema hayo ya ana sifa ama hana mimi sio msingi wa jibu langu. Haya twende sawa nani kateuliwa hana sifa?
@EngMapundajr Kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya JMT (1977), Rais ndiye Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali, na Amiri Jeshi Mkuu. Mamlaka yake ni pamoja na uteuzi wa viongozi (Ibara 51/55), kuridhia sheria (Ibara 97), na kutoa msamaha wa Rais (Ibara 45), hapo vipi wakunyumba?
@counselordvd@iHumphreyz No akili na roho zote road, mvua tu ilikuwa imechapa maroli ya mafuta yanaweka sana utelezi njiani, Ishu canter alipaki pembeni vibaya roli la wese likamkwepa likajaa upande wetu lote ile kibati ni sekunde tu tukaumana uso kwa macho hakukuwa na upenyo na utelezi control zikagoma