'Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza yasiyo na maana,na ni bora zaidi kuzungumza yalio na maana kuliko kukaa kimya' _
Prophet Muhammad swallallahu Alayhi wasallaam
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara..
Maneno muhimu kutoka kwako:
Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?
Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.
Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.
Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?
1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?
2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,
Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?
Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?
Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?
Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….
Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?
Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na hakuna kauli yet kutoka kwa aliewateua… Kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika?
Ingekuwa ni kutoa tuzo
1. Best politician- Lissu
2. People’s president- Lissu
3. Best lawyer-Lissu
4. Best Orator- Lissu
4. Best public speaker- Lissu
Simply best
Watanzania kama viongozi wenye uwezo, busara na ujasiri mnao, ni vile tu wale mashetani wa pili wana nguvu ya bunduki na hawasiti kuua ndio maana bado wanashikilia nchi.
Ukweli ni kwamba Chadema wana nguvu ya umma, CCM wana nguvu ya bunduki, mauaji na ukatili.
Mwisho wa siku nguvu ya umma lazma ishinde….. Kumbukeni hili.
Mungu alikuwa na plan yake ndio maana aliwabidhi Lissu na @HecheJohn chama. Haki vile kama hawa majamaa wawili wasingeshinda ule uchaguzi wa Chadema nawahakikishia Chadema ingekuwa imeshiriki uchaguzi kama ACT wazalendo na leo nchi ingekuwa isharudi kwenye business as usual maana hakuna maandamano yangetokea kama chadema ingeshiriki uchaguzi.
Wengi hudhani watu waliandamana sababu ya Mange. Mimi niliwafungua macho tu kuhusu ufisadi uliopo ila Chadema kutokushiriki uchaguzi ilikuwa kama petrol imemwagwa kwenye moto.
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
This happened in Mji Mwema, Mwanza. These boys where at a local cafe( kibanda Umiza) watching TV, when Samia Suluhu’s goons came, ordered them to come out and lay down. They all complied. Soon as they complied they were all shot. They were not protesting. This was about the protests it was about getting total surrender and obedience from the people of Tanzania’s
"Mtihani mkubwa sasa katika maisha yetu ni kujitambua,na kuwa na ujasiri wa kuukabili ukweli unaotuhusu hasa pale ambapo ukweli huo kuhusu sisi unatofautiana na tunavyodhani au tunavyopenda kuwa. Ukiupita mtihani huu unakuwa mnyenyekevu. Unakuwa tayari kujifunza na kufundishika."