Kitu kikubwa cha kujifunza katika uchaguzi wa haya Mataifa Makubwa kama Marekani ,China , Urusi nakwingin kwamba
Wametengeneza Mfumo ambao hawawezi kuruhusu hata watu waliochanganyikiwa kuamua hatma ya Nchi yao.
Hakuna swala la Usawa na Haki katika kupanga nchi.
Kuhusu Upinzani na hesabu zao dhidi ya CCM lazima wakumbuke
Baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 mshindi wa kwanza,wapili na watatu wa nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu ule
Yaani Magufuli,Lowasa,Mgwira wote walijukuta wapo chama kimoja(CCM).
Walioshindana ni wamoja
Hawa jamaa mawakili wa Naibu wa Rais wa Kenya π°πͺ ni Kiboko
Jamaa wanasukuma Maswali kiasi aliefungua kesi anaomba maji na amepoteana
Kama hiki nachokisikia ndio kitakuwa msingi wa maamuzi basi jamaa anapaswa kubaki madarakani
Katika jambo linanishangaza kwa nini Polisi wamewakamata na kuwapeleka kituo cha Polisi Msimbazi waandishi wa habari?
Mpiga Picha wa EATV peter Mbogo
Mwandishi Mariam Shaban wamekatwa Eneo la Ilala wakiwa wanafanya majukumu yao ili kujuza jamiii kuhusu maandamano.
Kwa sababu yoyote ile Kifo cha Mzee Kibao tunalaani na ndio maana serikali imetaka uchunguzi ufanyike.
Huwezi kufafanisha uhai wa maisha ya mwanadamu wa kulinganisha na hadhi ya mtu yoyote.
Dkt Samia
Naangalia Maigizo ya Jeshi la Polisi mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia
Polisi wanaonyesha kwamba hata kama watu wamekaidi amri halali ya Polisi wakati wa kutuliza Ghasia, ikatokea watu wameumia basi wao wanasema huwa wanatoa Huduma ya Kwanza
Msijaribu kufikiri kwamba unaweza tegemea kupata haki katika Dunia ambayo wahalifu ndio wanatengeneza Sheria
Na Prof Lumumba anasema Mnachagua wezi na wahalifu na Mashetani kisha mnategemea watende kama Malaika
lazima Mhe Rais afanye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri,wakuu wa wilaya pamoja na wakuu wa Mikoa kwa hizi siku Mbili tatu.
Lazima Rais Arejeshe Stamina ya serikali.. balance ya serikali imelalia upande ambao lazima Rais achukue hatua za haraka.
Hiki kinachoitwa mihimili mitatu hakipo. Ni kiswahili tu cha mitaani
Mhumili ni mmoja tu Serikali tu. hivi Bunge unaweza kuona ni mhimili kweli? Kwamba likajisimamia?
JPM alisema mizizi ya serikali iko chini sana , akapiga marufuku safari za nje hadi wabunge wakiwemo.
Majibu ya Polisi hakuna Afande aliewatuma wale wabakaji na kwamba yule binti anaonekana alikuwa Kabaha anajiuza
Kisha wanatazama kuona kama wataenda Leo Mahakamani
Katika nchi ambazo viongozi ni watumishi na watumwa wa Wananchi.
Leo usingeweza kuona mpaka sasa Waziri wa mambo ya ndani ajatangaza kujiuzulu
Rais wa Nchi alipaswa kuwa tayari amemuondoa IGP kwa kushindwa kuzuia uhalifu unaotajwa
Matukio hayataondolewa kwa kusema TUNALAANI
Mara zote Polisi huwa wakitoa taarifa ya Mhalifu huwa wanasema hivi
Nzengeli Magoma mkazi wa nyuki Congo mwenye umri wa miaka 26 Mfanya biashara, au Mwalimu au Mkulima au Hana kazi
Je hao wahuni wa ubakaji imekuwaje hamjawataja hata kazi zao? Ni kina nani hao IGP upo?
Yule Afande waliokuwa wanamtaja kuwatuma kumbaka na kumlawiti mbona kama kuna ukimya ?
Ni Afande wa Jeshi gani huyo? Waziri alisema wiki iliyopita wamekamatwa wote au alifanya mzaha??
Umma unataka kujua ni Afande gani huyo anaeweza kutuma vijana wa Jeshi kubaka na waka mtii?
Kesi ya Binti yule KΓΌbakwa na Kundi la vijana mbona iko wazi?
Mpaka sasa Polisi wanasubiri nini? Kona Kona za nini? Si mmewakamata mnafanya nini?
IGP IGP namna gani mzee
Pamoja na kwamba waziri Masauni kusema wamekamatwa hao wahuni
Swali Kuu .. hao wahuni ni kina nani? Lazima Jeshi la Wananchi lijitenge na uhuni huo..
JWTZ lazima lijitokeze why wapo kimya ikiwa mitandao inataja ni vijana wa Jeshi.. lazima Jeshi liseme kulinda heshima yake.
Lazima Jeshi la Wananchi lilojengwa kwa Misingi ya UTAIFA lijitokeze Kwa Mambo Mawili
1. kukiri kama kweli hao kwenye Video ya udhalilishaji na ubakaji dhidi ya huyo Binti ni askari wao.
2.Kuelezea mpaka sasa wamechukua hatua gani kama kweli watakuwa ni askari wao