Female Salafi Scholars!
Shaykha Umm Abdullah bint Mugbil ibn Hadi Al-Wadi'iya
Umm Abdullah Al-Wadi'iya
Umm Salama As-Salafiyah
Umm Asma bint Ali Jibreel
Umm Abdullah bint Abdullah Wasabi
U'll not find these women online as they don't appear before camera nor will they show
If you're currently taking any courses or studying for an exam, Google's NotebookLM is such a great tool for studying. You can upload your study materials and generate a podcast of the entire thing, a study guide for revision, FAQ to help quiz yourself, and more. 10/10 tool imo
🦠 Mpox: Tujikinge, Tuelimike, Tuchukue Hatua.
⸻
📌 1. Mpox ni nini?
🧬 Mpox ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na Monkeypox virus (MPXV) kutoka jamii ya Orthopoxvirus – familia moja na ndui (smallpox) 🧫, cowpox 🐄 na vaccinia.
🧩 Kuna aina mbili kuu za virusi (clades):
• 🟢 Clade I (Ia & Ib) – zaidi Afrika ya Kati na Mashariki
• 🟡 Clade II (IIa & IIb) – mlipuko wa dunia 2022–2023 ulisababishwa na aina ya IIb
⸻
📖 2. Historia kwa Ufupi
📍 1958 – Virusi vya Mpox viligunduliwa kwa mara ya kwanza kwa nyani nchini Denmark 🐒
📍 1970 – Kesi ya kwanza ya binadamu iliripotiwa DRC 👶
📍 2003 – Mlipuko Marekani ulitokana na wanyama wa porini 🐿️
📍 2017 – Mpox ilitokea Nigeria na kuendelea kusambaa 🌍
📍 2022–2024 – Mlipuko mkubwa ulienea nchi 120+, visa 100,000+, vifo 220+ 📊
🔄 3. Mpox Huenea Vipi?
🤝 Kugusa ngozi ya mtu aliyeambukizwa (ngozi kwa ngozi)
💋 Kupitia busu, ngono au kugusa vipele
🗣️ Kupumua karibu na mgonjwa (mazungumzo ya karibu, kukohoa)
🧺 Kutumia mashuka, taulo au nguo vilivyotumiwa na mgonjwa wa Mpox
💉 Kupitia sindano (kwa wahudumu wa afya)
🤰 Mama anaweza kumuambukiza mtoto tumboni au wakati wa kujifungua
🐾 Kugusana na wanyama walioambukizwa (kuwindwa, kuchinjwa au kuliwa)
⸻
🚨 4. Dalili za Mpox
⏱️ Zinaanza siku 1–21 baada ya kuambukizwa
📆 Hudumu kwa wiki 2–4 (au zaidi kwa wenye kinga dhaifu)
💡 Dalili kuu ni:
🤒 Homa
🤕 Maumivu ya kichwa
💪 Maumivu ya mgongo na misuli
🥱 Uchovu
😮 Maumivu ya koo
🦠 Kuvimba kwa tezi (shingo, kwapa, sehemu za siri)
🧖♂️ Vipele kwenye uso, viganja, nyayo, sehemu za siri, mdomoni, kooni
🚽 Maumivu wakati wa kukojoa au haja kubwa
👁️ Maambukizi kwenye machi
➡️ Vipele: huanza kama vipele vya kawaida → malengelenge → kupasuka → kukauka → kuacha kovu.
⸻
❗ 5. Madhara ya Mpox
🟢 Wengi hupona bila madhara.
🔴 Kwa baadhi (kundi dogo sana), madhara yanaweza kuwa:
• 🧴 Maambukizi ya bakteria kwenye ngozi
• 🫁 Nimonia
• 🧠 Encephalitis (ubongo)
• ❤️ Myocarditis (moyo)
• 🩸 Sepsis
• 🤢 Kichefuchefu, kuharisha
• 👁️ Kupoteza uoni
⸻
🧪 7. Utambuzi wa Mpox
✅ Kipimo ni PCR kutoka kwenye:
🟣 Ngozi, majimaji, au ganda la vidonda
👄 Koo (ikiwa hakuna vipele)
🚾 Haja kubwa (anal swab)
🔍 Sio kila upele ni Mpox; Kwa macho ya kawaida Mpox hufanana na: tetekuwanga 🐓, surua 🟡, herpes 🟠, fangasi 🟤, kisonono ⚫hivyo kuonwa na daktari ni lazima.
⸻
💊 8. Tiba ya Mpox
🚫 Hakuna dawa ya moja kwa moja
🛌 Tiba ni ya kusaidia kupunguza dalili mfano:
✔️ Dawa za maumivu
✔️ Maji ya kutosha na lishe bora 🥗💧
✔️ Utunzaji wa ngozi
🚫 Usipasue vipele au kunyoa eneo lililoathirika
⸻
🧼 9. Jinsi ya Kujikinga
Epuka kugusa majimaji ya mwili Wa mtu mwenye maambukizi ya Mpox
Epuka kusalimiana kwa kukumbatiana, kubusiana au kushikana mikono na mtu mwenye dalili za Mpox
Epuka kugusana na mtu mwenye dalili za Ugonjwa wa Mpox
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni au tumia vitakasa mikono
Epuka kula au kugusa mizoga au wanyama pori wenye maambukizi yaUgonjwa wa Mpox
Epuka kusogeleana karibu na mtu mwenye dalili za Mpox wakati mnaongea
Epuka kugusa vyombo, matandiko, nguo au godoro la mtu mwenye Ugonjwa wa Mpox
Safisha na takasa sehemu zote na vitu ambavyo vinaguswa mara kwa mara
Epuka kujamiiana na mtu mwenye dalili ya ugonjwa huo
⸻
📊 11. Mpox Duniani
🌍 Nchi zilizoathirika: Zaidi ya 120
🧪 Visa vilivyothibitishwa: 100,000+
⚰️ Vifo: 220+
⸻
📢 Hitimisho
Mpox si jambo la kuogopa sana – bali la kuelewa, kuelimisha na kuchukua hatua.
🧠 Elimu sahihi
❤️ Mahali sahihi pa kupata huduma
⚕️ Jikinge na uwakinge wengine
☎️ Piga namba 199 masaa 24 siku saba za wiki kwa maelezo au msaada
Jikinge; iweke Tanzania salama dhidi ya Mpox.
⸻
Tunapaswa Kuhofia Kutomuomba Yeye [Allaah]
Imām Ibn Taimiyyah, Allah amrehemu, alisema:
“Wakati Allah anapotaka kumtendea mja wake wema, Humtia moyo amwombe na kumtegemea, na Huufanya huo uombezi kuwa njia ya kumpatia wema Aliompangia.
Ibn Al-Qayyim [رحمه الله] alisema:
“Kusamehe ni kupendwa zaidi na Allāh kuliko kulipiza kisasi, rehema ni kupendwa zaidi na Yeye kuliko adhabu, fadhila ni kupendwa zaidi na Yeye kuliko uadilifu, na kutoa ni kupendwa zaidi na Yeye kuliko kuzuia.”
CASE STUDY:
Experts highlight simple, effective ways for rabies control in 🇹🇿
Rabies can be eliminated with sustained dog vaccinations! A case study by @UniofOxford, @ifakarahealth, @UofGlasgow, and @WSUPullman, reports how the One Health approach which involves multi-sectoral collaboration has helped control rabies in Tanzania. 🐕📊📉
The study underscores the need for continuous mass dog vaccinations to eliminate the disease. 🐶💉
>> https://t.co/sZhRnBYffq
>> #ZeroBy30 #EndRabies #OneHealth
“NASAHA TISA [9] ZA MTUME WA ALLAH [REHEMA ZA ALLAH NA AMANI ZIMSHUKIE] KWA ABOO DARDAA’”
📜 Aboo Dardaa’ alisema:
“Mtume wa Allaah [rehema za Allah na amani zimshukie] alinipa nasaha kuhusu mambo tisa:”
MAANA YA DUA YA MTUME KUHUSU KUSAFISHWA KWA MTU KUTOKANA NA DHAMBI KWA MAJI, THELUJI NA BARAFU
IMAAM IBN AL-QAYYIM [Allah Amrehemu] amesema:
“Nilimuuliza Shaykhul Islaam [Ibn Taymiyyah] kuhusu maana ya dua ya Mtume [rehema za Allah na amani zimshukie]:
CONFIRMED:
Better way to detect worm infections
A recent @SwissTPH, @Ifakarahealth-led research finds a better way to detect worm infections! A laboratory method called qPCR is more accurate than traditional methods, helping improve diagnosis & treatment! 🔬🧬. Plus, a new deworming drug, emodepside, shows promise! 💊🪱
These findings are a step forward in tackling neglected tropical diseases! 🌍🦠
>> https://t.co/zsiCwkkBgy
>> #IFAKARANews #NeglectedDiseases #HealthInnovation
@ImmaMrimi