wa nini.
KWANINI MVUA KUBWA
Na hapa inaaminika ilikuwa ukipata harusi/msiba basi mvua kubwa itanyesha maana Yake mvua ikinyesha itazuia watu kuhudhuria matukio hayo kwako.
Wazee wetu walitulea kiume sn na hii sentensi ya kutotumia sufuria ilikaa kimfumo dume zaidi.
@bakita_tz
WEWE WA KIUME ZAMANI KULIKUWA NA HII.
ukila chakula kwenye sufuria utakuwa huoi/siku ya tendo lako kubwa mvua kubwa inanyesha.
Kwanini huoi?
Unajua wazee wetu walikuwa wametawaliwa na mfumo dume sababu wanaamini ukiizoea sufuria utaingia jikoni mwenyewe sasa ukiweza kupika mke
Kama wanadamu tuziruhusu akili zetu ziwe biz kutafakari kile tunachoambiwa na mtu jitahidi Sana kutazama mtazamo wake Kwa akisemacho na sio muonekano wake.
Hebu Kwanza @moodewji vua hiyo kofia ya mwekezaji kuwa mwanachama wa @SimbaSCTanzania mwenye nguvu tusimame upande wa wanachama kuondoa hizi kero zilizojaa pale ndani maana haya maisha sasa ya kukosa furaha kila sehemu yashakuwa kero kwetu
Tumechoka watupumzisheni sasa