Wakati Galileo Galilei Anafanya Utafiti kwenye ishu za Unajimu Nyota (Astronomy ) ,Motion na Mahesabu....Mababu Zetu Wao Walikuwa Wanahamasisha Kuzaliana Tu Eti "Mficha Uchi Azai" Tusilaumu vijana Wengi huwa tunaenzi vya mababu Zetu
😆😆😆
#GalileoGalileisay
Eva Alimdanganya Adamu Wakatenda dhambi Samsoni Alivyoingia kwenye Kumi na Nane za Derila Akaliwa Kichwa Sembuse Wewe Mwenye Kiti Wa Chama Mwanamke Sio Wakumuamini Asikika Mlevi Mmoja Aleyeongea kwa Jazba 😤😤
#GalileoGalileisay#Trending
Mdada wa Kimarekani Vs Mdada Wa Tz Wakiomba Samahani
Narekani:;..I am very sory Beny my Hubby😙
Tz:;...kwahiyo Beny Ndo Unanikalia kimya Nijibu ndo umenisusia Basi Yaishe 😪
Iko Shida huku kwetu #tz#GalileoGalileisay