Kaeni chonjo! JPM ana vita ya siri na makanisa makubwa, hasa RC na KKKT. Anajikweza juu ya viongozi wa dini, anatumia mifumo kuwatesa na kuwashushia hadhi. Alishasema anataka watambue "rais" ni mmoja tu, yeye. Sasa ametoa agizo zito dhidi ya Askofu wa Jimbo la Bukoba. Tumejua!
Nikiwa hapa Dubai, UAE, nimeshtushwa na taarifa za kutwaliwa kwa Mhe. Shariff Hamad; Jabali la Mageuzi Tz; Mkt wa Chama cha ACT & Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Natoa pole nyingi kwa familia, Chama chake, Wazanzibari & Watanzania wote. Kwake tumetoka & kwake tutarejea. Amin!
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.
Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Press ya Covid 19 itakupasua @ChademaTz vipande vipande .. Covid 19 wana siri nzito sana ..Yaani wakifanya press ni balaaaaa sana chama kitapasuka
Yaani hii ni press au takataka? Yaani kumsikiliza Braza Mdee 🦥ni bora kumsikiliza Musiba ana make sense kabisa
This is CHADEMA✌️
ALERT
👉 TISS wakishirikiana na NEMC wanapanga kuvunja hoteli ya @IamJongwe__ kwa kigezo kuwa imejengwa kwenye chanzo cha maji
👉NEMC walitoa kibali cha kujenga hii hoteli eneo hilo,na wameagizwa kufuta hicho kibali na mamlaka za mkoa wa Mbeya kuamrisha hoteli ivunjwe
HATUOGOPI
Japo tulijawa hofu sana lakini nguvu zako zilikaa ndani yetu na kutupigania.
Umetuheshimisha sana katika majonzi yaliyotupata na vinywa vya simba wenye hasira ukavifunga ili wanao tupone na kuvuke salam! Sifa na utukufu ni wa kwako hatustahili hata tone la sifa hizi!
🙏🙏🙏🙏
Bwana YESU nakutazama na kukuamini wewe.. Katikati ya majonzi mengi ulinikataza nisilalamike,walipotuletea mapolisi na kututisha,wengine wakakimbilia kwa waganga na wachawi lakini ukasema tuutazame MSALABA kama kimbilio na sadaka zetu umezitazama na kuzikumbuka kama Kornerio
•Free Hon Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) NOW.
•Free Ugandans NOW!
•Ugandans: remain firm &take actions to end captivity NOW.
•@IntlCrimCourt Please process petition of Ugandans; more generous crimes underway!
•Those funding the Rogue NRM/M7 Junta must stop. STOP ODIOUS DEBTS.
I have lost a great friend and the rock of my life! The man who tought me bravely and fearlessness has departed to meet his ancestors!!
I still hears your words when we talked last week. You said " i will die happily for raising a man NOT a boy"
Go easy my friend ,RIP Dad!!!..