@Charltone91 Anza kwanza kwenda kuulizia madukani bei zake...Andika...ukirud home piga hesabu..ukiona Gharama imezid ndo omba msaada kama unaweza onyeshwa sehem yenye unafuu wa vitu...Usianze tu kuwapa watu kaz wakat hata wewe hujafanya Research bado.
@TBoundBuses Route ya Mbeya sio ya kuifurahia sana..ni Route ya kukimbizana sana..Kama ukifeli kwenye Mbio kuiteka Njia Sahau...Unaweza kuwa na Bus zuri ila mnachelewa kufika sana...Nani atakubali kila cku awe anafika kachelewa.