Maafisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (@tpa_tz) wanatuhumiwa kupokea Tsh. 2.1 bilioni ($800,000) kama rushwa ili kutoa tenda yenye thamani ya takribani Tsh. 16.6 bilioni ($6,635,000)
Sababu za kuandamana ni nyingi sana. Kama unakereka na ufisadi huu, tuandamane.
Poor attendance in Nigeria v Equatorial Guinea game and I think this is how it will be across all games unless Ivory Coast is playing.
What can be done to fix this?
Why don’t African football leaders and also Presidents make it possible for fans to fly or even use buses to go support their countries when playing?
For God sake, Ghana, Nigeria, Burkina Faso and other close by countries should even have more fans attending their games. 🤦🏽♂️
#afconwithmicky
#TotalEnergiesAFCON2023
#AFCON2023
Mimi nitashiriki Maandamano ya amani Tar 24 Dar , ili kupinga miswada mibovu ya sheria ya uchaguzi isipelekwe Bungeni mpaka maoni ya msingi ya WADAU wote yafanyiwe kazi.
Pia na kupaza sauti zaidi kuhusu maisha magumu kwa wananchi…
Na kama nikiwakuta Wanajeshi wanazoa taka taka mitaani kama anavyosema huyu Chalamila, basi nitatumia ushawishi na kuwaomba Wajeda nao watuunge mkono kwa maslahi ya taifa na waachane na kutumika vibaya na serikali ya CCM dhidi ya RAIA …#TumeHuruYaUchaguzi
. @Jambotv_ appreciation tweet. 💪
Ni kwa bahati mbaya sana, tunaye WAZIRI wa habari ‘BUMUNDA’ ambaye ametishia vyombo vya habari visifike katika mkutano wa CHADEMA, Mikocheni, Kinondoni, Dar es Salaam. Lakini hata hivyo ujumbe wetu utafika kwa umma leo. Tunao ujumbe mzito sana leo.
Mwenyekiti wa CHADEMA @freemanmbowetz ametangaza maandamano makubwa siku ya 24/01/2024, Jumatano, Jijini Dar es Saalam, akitoa sababu za kwamba serikali ya CCM imepuuza maoni ya umma katika masuala ya kitaifa na kushindwa kuondoa ugumu wa maisha. 👏
Alfajiri hadi usiku. Unakutana na mfululizo wa vipindi vya radio vikijadili umbea, ukungwi, michezo, burudani, ngono, kumsifia Rais. Hakuna mijadala na midahalo. Hakuna vipindi vinavyohitaji ‘critical thinking’. Huwezi kupata Radio wanajadili miswada ya mabadiliko ya sheria. WHY?
𝐇𝐞𝐫𝐞 𝐰𝐞 𝐠𝐨! 🌍✨
The leading African football journalist takes centre-stage for the coverage of the 2023 AFCON tournament in Ivory Coast. 🇨🇮🏆
All the updates will be live here.
Let’s make memories together. 👊🏼
#AfconwithMicky#TotalEnergiesAFCON2023#AFCON2023