@HildaNewton21 Siyo Gen z
Ni nyie wana harakati ๐
Yan mkiamia kusema mwaka huu hatutakua ata na 88 au krismass hakika mnawezaa, maan mkiitisha tu maandamano kidg tyriii watu hujifungia nje.. na hii ktu inabd serikal ijitafakar mnoo kwamba kwann wananchi hawatoki Siku km ya leo