The aim of the association is to assist and cooperate spiritually,educationally and economically in fostering the growth of Alumni through One Heart and Spirit.
Last weekend our Alumni joined runners in Moshi in participating in the @KiliMarathon as part of keeping fit. Congrats to all! Call +255752077615 to join our network!
Praise Be Jesus Christ!
The minutes for the first Alumni meeting held on Sunday, 02nd Feb 2025 is available for review and action. Share your email address if you have not received it.
Thanks #alumni#oneheartinspirit
Our Alumni in Dar had participated in the ChatSoko Goba Marathon in the half and full marathons. Join our Alumni network today to grow spiritually, economically and socially. #oneheartandspirit#alumni
Kristo!
Tunawashukuru wote kwa ushiriki wenye kikao ambapo tulijadili Katiba mpya na ushiriki wa matukio ya kijamii, Jimbo na Seminari na kuanza utekelezaji wa maazimio. Tutatuma muhtasari wa kikao muda mfupi ujao kwa barua pepe. Asante #rohomojakatikakristo#alumni
Kristo!
Tunawashukuru wote kwa ushiriki wenye kikao ambapo tulijadili Katiba mpya na ushiriki wa matukio ya kijamii, Jimbo na Seminari na kuanza utekelezaji wa maazimio. Tutatuma muhtasari wa kikao muda mfupi ujao kwa barua pepe. Asante #rohomojakatikakristo#alumni
Tumsifu Yesu Kristo!
Tunaomba uwasilishe barua pepe au namba yako ya simu kwenda kwa Frank Julius +255752077615 au [email protected] ili uweze kutoa maoni yako ya katiba ya ARUCASE Alumni. Asante #alumni
*PONGEZI*
Tunatoa pongezi za dhati kwa walezi, walimu na wanafunzi wa F.IV Alumni Class of 2024 kwa matokeo mazuri katika mtihani wa kuhitimu kidato cha nne 2024. #Alumni#Congratulations
Tumsifu Yesu Kristo!
Uongozi wa ARUCASE Alumni ukishirikiana na Seminari unawashukuru wote walioshiriki Alumni Day Jumamosi tarehe 28/12/2024. Muhtasari unaandaliwa na utatumwa kwa ajili ya mapitio. #alumniday
Uongozi wa ARUCASE Alumni wakishirikiana na Seminari ya Oldonyosambu wanaawalika waseminari wa zamani katika jumuiko la pamoja siku ya Jumamosi tarehe 28/12/2024 saa3:00 asubuhi seminarini Oldonyosambu,Arusha. Kwa maelezo wasiliana na Frank Julius 0752077615.#ARUCASE#AlumniDay