Ukimwambia mbuzi anyamaze, atajibu kwa kutafuna 🤔🤔.
Sato yakupeleka vipi lakini...
#ReggaeVibesKbc hewani 2pm - 4pm. Leo kwenye mizani >> Picture Frame Riddim Vs Tears Of Life Riddim.
#ReggaeMusicSoNice
Aliyekuna kichwa mbele ya wazee, aliitwa mwenye mkutano wa chawa 🤔🤔.
Hata hivyo, leo kwenye #ReggaeVibesKbc itabidi tujikune vichwa wote pamoja. Old Fashion Love Riddim Vs No Jestering Riddim. Hapo vipi wakuu??
#ReggaeMusicSoNice
Kipara si mwisho wa safari, ni mwanzo wa hewa safi 🤔🤔.
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm, burudani na hewa safi tosha.
Kwenye mizani leo, wameitisha Corner Shop Riddim Vs Cardiac Strings Riddim. Waonaje wewe??