Nimeafakari MFUNGO WA SIKU SABA kuliombea Taifa hakika nimeona mkono wa BWANA.
Jana tuliona nchi ikiungana kufanya maandamano ya “NO REFORMS NO ELECTION” kwenye mtandao. Watu walisimama kwa pamoja nchi nzima na kuongea LUGHA MOJA.
Hadi wasanii, watu maarufu walishiriki kuikuza bila wao kujua kama wanaikuza. Yale yakikuwa ni MAANDAMANO ya amani ambayo hayajawahi kutokea kwenye nchi.
Hii naamini ni sehemu ya matokeo ya MFUNGO WA MAOMBI YA SIKU 7 kutoka kwenye kanisa la UFUFUO NA UZIMA. Kanisa ambalo linaongozwa na ASKOFU GWAJIMA ambae amekataa kanisa lake kukalia kimya UTEKAJI unaoendelea kwenye nchi.
Bado siku 2 MFUNGO uishe, naamini tutaona mambo makubwa kwenye hizi siku 2 ambayo yataendelea kuonyesha UKUU WA MUNGU.
Wakati huo tukiwa tunamsubiri MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU GWAJIMA aje kuhutubia TAIFA. Hakika saa ya UKOMBOZI imekaribia.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@Am_Gifted_@SwahiliKid22 Mnaendesha ng'ombe Weusi sio maksai,sifungulii milango stress mbona mtafurahi biashara na mambo za kujuana ndio haifai
Mapigo is on the menu bye bye
Msikatike hii sio mayenu nai nai #manuva