🔵 Pochettino: "I remember after three or four years, Liverpool lost the Champions League, lost the Europa League, and they believe in the project and in the next season were stronger until they got what they wanted".
"That is a good example, Liverpool... if we want to challenge a team like Liverpool, it's not to be frustrated today because we didn't get the trophy. It's about to take the example to keep believing, that is the most important thing".
Siku zote mwanaume anataka aonekane ni mwanaume sasa wewe leta shobo zako na komwe jifanye unamhudumia na kumpa hela ye akitoka apo anaenda kuonyesha uanaume wake sehemu Nyingine maana we tayari anakuona kama Mwanaume mwenzake.
Mimi nipo radhi tufe njaa wote ila sitoi hela yangu
MAGONJWA YA MLIPUKO KATIKA HISTORIA YA BINADAMU YALIYOIACHA DUNIA NA MACHOZI.😪💔
Thread 🧵
Leo nakuletea magonjwa 7 ya MLIPUKO yaliyowahi kutokea katika historia binaadamu na kuacha vilio.
1. KIFO CHEUSI (mwaka 1347-1350)
Huu ulikuwa ni ugonjwa wa tauni uliotokea katikati mwa karne ya 14 iliyopelekea vifo vya zaidi ya watu million 75
Inasemekana ugonjwa huo ulianzia katika bara la Asia kisha ukawa unasambazwa na wafanya biashara wasafiri kwa kipindi hicho
Hebu vuta taswira kwa wakati huo unakadiriwa idadi ya watu duniani ilikuwa ni Million 450 kisha ndani ya miaka 4 ugonjwa ukaua watu million 75 (kwa makisio madogo)
Inasemekana nusu ya watu wa ulaya walikufa kwa ugonjwa huu.
Sababu ya ugonjwa huo kuitwa black death ni kutokana na kuwa waathirika wa ugonjwa huo walikuwa wakitokewa na vidoa vyeusi katika miili yao.
2. JUSTINIAN (mwaka 541)
Nao ulikuwa ni ugonjwa wa tauni uliozuka miaka hiyo na kuondoka na roho za watu million 25
Ugonjwa huo ambao ulianzia Misri ulisambaa kwa haraka duniani
Inasemekana kuwa uliokuwa mji mkuu wa himaya ya Roma kwa wakati huo Constantinople kila siku walikufa watu 5000 na asilimia 40 ya idadi ya watu waliokuwa wanaishi katika mji huo walifariki
Sababu ya ugonjwa huu kuitwa Justinian ni kuwa ndio ulimuua mfalme wa Roma wa wakati huo aliyeitwa Justinian.
3. MAFUA YA KIHISPANIA (mwaka 1918)
Mwishoni mwa Vita ya kwanza ya dunia ugonjwa huu uliibuka kisha ukasambaa kwa haraka duniani hasa katika kambi za jeshi za wakati huo
Inasemekana kuwa ugonjwa huu uliuwa zaidi ya watu Million 50 huku watu million 30 walifariki katika wiki 25 tu baada ya kulipuka kwa ugonjwa huu
Haijathibitika kuwa ugonjwa ulitokea hispania lakini ulikuja kuisha mwaka 1919 mpaka muda huu dunia haijui ni kipi kilipelekea ugonjwa huu ukamalizika ghafla
kuna baadhi ya vyanzo vinasema kuwa ugonjwa huu ulitokea China na ulisambazwa na wachina waliokuwa wakifanyishwa Kazi ya kutengeneza reli
4. UGONJWA WA UKIMWI.
Hadi muda huu bado Vita vinaendlea dhidi ya ugonjwa huu japo inaonyesha kuna muda unahitajika zaidi ili angalau ipatikane dawa fawafu.
Inasemekana ugonjwa huu umeanzia Congo mwaka 1959 lakini mtu wa Kwanza kugundulika ni mwaka 1981 katika nchi ya Cameroon.
Tokea gonjwa hili lianze ni zaidi ya watu million 75 wameathirika huku watu million 32 wamefariki kwa ugonjwa huu
Mwaka 2018 kulikuwa na zaidi ya waathirika million 37 duniani kote kati ya hao watoto (chini ya miaka 15) walioathirika ni million 1.7 duniani kote
5. ANTONINE (mwaka 165-180).
Inasemekana ugonjwa huu ulianzia huko nchini Mesopotamia katika mji wa Seleucia (Baghdad ya sasa) na ugonjwa huu ulisambazwa na wanajeshi ambao walikuwa wanatoka kwenye vita kurudi nchini kwao Roma
inasemekana ugonjwa huu uliua zaidi ya watu million 5
Zaidi ya watu elfu 2 kutoka Roma walifariki kila Siku.
Sababu ya ugonjwa huu kuitwa antonine ni kutoka kwa jina la mtawala wa Roma kwa wakati huo aliitwa Marcus Aurelius Antoninus naye alifariki kwa ugonjwa huo.
6. MAFUA YA ASIA (mwaka 1957).
Ndani ya miezi 6 zaidi ya watu elfu 14 walifariki kwa mafua haya..inasemekana yalianzia Hong Kong kisha yakaenea China nzima kisha yakasambaa marekani na uingereza.
katika awamu ya pili ya ugonjwa mwaka 1958 zaidi ya watu million 1 walifariki duniani kote.
7. UGONJWA WA TAUNI (1855).
Ugonjwa huu ulianzia China kisha ukaenea India na Hongkong inaaminika zaidi ya watu million 15 waliathirika na ugonjwa huu
Ugonjwa huu ulianza katika mji wa Yunnan na inasemekana ni kutokana na sababu ya kisiasa.
Usisahau Kunifollow @mudryk_jr na ku,turn on Notification 🔔
>Like❤️
>Repost🔄
>Comment!
Wazee nimedaka donda langu safi safi kwa 35k
Alfu 35 tu tena mpya kabisa.
Mikanda saba safi safi na imenikuta Mpanda..😁
Smart Watch Ultra - 2
Inafanya kazi Android na iOS
Mcheki -- 0699 446 715.
Au comment neno nataka akutafute hapa.
Yan leo tumefika hatua yakusumbuliwa na Galatasaray sisi 😭😭😭 haitakiwi kua hiv tena nyumbani na ugenini😭😭😭 naanza kuwaelewa mashabiki wa Simba sasa wanacho kipitia ndo nakipitia na Man u yang 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
ITANIUA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Winter can be tough on EVs, but don't let the cold weather stop you from hitting the road! Remember to use eco mode and recirculation heating for extra energy (and range) savings... *singing*: “The cold never bothered me anyway…” ❄️
#CHARGENOW#EV