Hapo Luthuli kuna duka ya nguo sijui inakuanga 3rd floor kwa corner wanauza nguo mzuri sana.Nilienda nikashika jeans moja hatari sana nikaonyeshwa changing room nikaingia na nyuma kama Ngiri.
Nikachomoa ile trouser yangu nkarusha chini then nikaskia baridi ingine hatari upande ya nyuma buana nkassume nkadhani ni zile shimo ziko kwa my 4 year old sambusa.
It's until nmemaliza kufit ndio naangalia nyuma naona ile stage ya kwenda Westlands Kinoo na Regen buana.Kumbe nmekuwa nikipanua isundi kwa balcony naonyesha makanga hapo Archives.Kwa ufupi nasema Luthuli kila kitu ni ukora.
Tujitose ugani Amex tuone bingwa mara sifuri wa kombe la klabu bora barani Ulaya ametuandaliani.Naarifiwa msimu huu anapania kwenda "unbeaten" kwa hiyo hana budi ila kuendeleza rekodi ya ushindi ya asilimia mia fil mia dhidi ya Brighton. Tano mtungi ndio ubashiri wangu.
Kuna mahali niliunderperform nikapewa last warning na huyo mumama that she will withdraw her support kwangu. Nimespend wiki nzima nikiwatch video ya watu wakubwa juu Sunday Niko biggest battle of my life.
Wife and daughter celebrate the man of the house's birthday with a simple surprise birthday party.
Many rich don’t have this true love within their home.