Maendeleo ni tabia inayo zaliwa na kufikiri. Kila mmoja akitafakari nafasi na wajibu wake ni upi katika kushiriki kuleta maendeleo, bila shaka atapata majibu mazuri yenye siha katika maendeleo.
Siha hii huzaa nguvu za pamoja zenye muelekeo.
Nimegundua Kuna Watanzania wengi wanaendesha maisha yao kwa kufanya biashara ndogondogo
Kampuni ya Amboni inataka kushiriki kutoa mitaji, unaushauri gani katika kufanikisha zoezi hili?