Usivunje Mahusiano Kwa Makosa Madogo Madogo Kwan Hakuna Palipo Salama Hakuna Pasipo Nyesha Kila Mtu ana Masika Na Kiangazi Chake Mwisho Wa Siku Uvumilivu Ni Bora Kuliko Ukamilifu✊
Kuna vitu viwili hapa ..
1. msimamo
2. Kujiamini
Hiv navyo vimekaa kiakili sana
Unaweza jua ww una msimamo kumbe ni kibri , na unaweza jua ww
Unajiamini kumbe ni jeuri ...
Kaa utafakar na utambue wew uko wap ,??
#Aiiiih#AMIJAY✌️
Kuna hatua unafikia kwenye maisha unakuwa unajua ila unajifanya hujui maana kujua kutakunyima nafasi nyingi sana kwahiyo unapambana juu chini wajue hujui. Na wanajua unajua ila unajua hawajui halafu wao wanajifanya hawajui unajua.
#Amijay✌️
Mungu nisaidie kujua wapi ninakubalika na kuthaminiwa katika kusudi ambalo kwa hilo nilizaliwa niliishi. Nisaidie kujua umenileta hapa duniani kwa ajiri ya wakina nani ili nisibebe watu na mizigo isiyonihusu.Ondoa kila mzigo ili niwe mwepesi kufanya kilichonileta.
Vitabu Vya Dini Vinaeleza Ni Mzazi Pekee Ndio Anaweza Kukupa Laana,Ila Sio Mwanamke Au Malaya Yoyote Yule,
Usioe au Kuwa na Mahusiano na Mwanamke Ambaye Unaona Mbeleni Kutakua na Shida,Kisa Misemo ya "Chozi la Mwanamke Haliendi Bure".
Atalia na Atatulia na Maisha Yataendelea.
I’M Proud Of MySelf, I Went Through Every Type Of Pain, Family Issues, Trust Issues, HeartBreak, Insecurities, Depression I Went Through It All Alone But I Never Gave Up💪
Your Boyfriend Is Also Facing Life Challenges, But You Won’t Notice Because Your Eyes Are Glued On Your Own Happiness And Your Too Focused On How He Should Make You Happy And Spoil You. Men Go Through A Lot Too. So If You Love Him, Learn To Understand Him ❤️
#Amijay✌️
Mke Bora huthibitika pale mume anapokua Hana Pesa
Mume Bora anathibitika pale anapokua na Pesa
Unaweza ukaona utofauti mkubwa kati ya sisi binadamu wa kawaida na wanawake
🤣🤣 🤣
Usimpe Hela Mwanamke Ambaye Mwanaume Yoyote Anaweza Kupiga, Acha Akuite Masikini, Bahili au Mchoyo..
Ila Usimpe Hela Mwanamke Ambaye Haongezi Kitu Chochote Kwenye Maisha...
Kama Marafiki Zake Wote Ni Wajinga Wajinga, Kipi Kinakufanya Uamini Yeye Sio Mjinga..
Kama Marafiki Zake Ni Malaya, Kipi Kinakufanya Uamini Yeye Sio Malaya..
Waangalie Marafiki Zake, Watakueleza Kila Kitu Kuhusu Yeye..