“Business is built on trust and long-term relationships. When credibility is earned, access to capital follows, and capital enables businesses to grow, scale, and create lasting impact.”
MO.
Sio kwamba hawakufuatilii wanakufuatilia vizur snaa na unawapa tabu maana kila cku unaendelea kushinda,wanasubir uanguke wapate maneno yakusema na kukucheka huku wakisema walijua tu utaanguka.Usichoke kumuomba mungu na kupambana maadui ni weng mno na weng ni wanaokuzunguka.