Picha linaanza hii post ya GIRISHONI kuchamba Diaspora ISHAFUTWA๐๐
Hatua KALI ZA KISHERIA zinafuata kwa CHAWA na na GIRISHONI wote kwa pamoja.
Mnahisi wakina DJ KHALED hawajui kama mliuwa watanzania ELFU KUMI na sasa mnazurura dunia kutafuta namna ya kujisafisha?
Mnacheza na brand za watu walizohangaika nazo kwa miaka na miaka.
Mnahisi DJ Khaled ana njaa kama Drogba na Frednand?
Kila kitu mtakachofanya kitagoma kwasababu MLIUWA WATANZANIA KWA MAELFU.
Damu za ndugu zetu bado zinawalilia na mtazilipa tuu.
GIRISHONI ZEE LA UFAFANUZI TUNAOMBA UFAFANUZI KWENYE HILI PIA๐๐
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐