JEFFREY EPSTEIN Gwiji wa wahuni aliyetengeneza mtandao na matajiri wakubwa
duniani kwa lengo la kufanya anasa.
Hakuwa Mkatoliki wala "Proud to Be" bali ni Myahudi kutoka kwa wateule wa mchongo. Katika kujipenyeza kwake, alidondoka pale Marekani na kufanya mishe za biashara.
💨Leo ushtue umaskini kwa hii 😂👇
Pandisha picha yako Gemini alafu copy prompt kuna sehemu ya kuedit jina na kazi yako.
“Ultra-realistic 8K full body portrait of [PERSON], wearing a clean and pressed white social shirt with folded collar and a small lapel microphone, dark navy-blue dress pants and polished brown social shoes. Casually and unpretentiously leaning against a smooth light gray studio wall; hands are in pockets and one leg is crossed over the other, with relaxed and confident body language. Add to the wall next to them a prominent vector portrait in black and white of their face and bust - with sharp lines and angles, overlapping polygonal shapes and a minimalist modern graphic style, right below the information: “FULL NAME”, and below the name: “PROFESSION”. 3:4 dimension.”
Shuleni watoto wanafundishwa, uraiani watoto wanajifunza.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya haya!
Kujifunza ni experience, kufundishwa ni encounter.
Unaweza ukafundishwa miaka 15 darasani na kamwe usijifunze chochote cha maana.
@leo_unsc Fundisha watu kazi ukiona hujiamini kwenye fani yako unaogopa kupokonywa ujue na wewe bado mtu anaejiamini anaamini atapata kazi popote pale duniani hakuna cha kuhofia