@SimbaSCTanzania@SimbaSCTanzania ili mkifungwa na Kagera Sugar sababu iwe ni viwanja, ni mara ngapi mmeenda kucheza huko Bukoba? Au viwanja vimebadilika? ๐คฃ๐คฃ
@TweveDevota Ilikuwa ni jambo la muda tu! Walipoteuliwa Manaibu waziri wawili kwenye hiyo wizara, tulishajua kinachofuata na ndo hicho kimetokea.. ๐
@TBoundBuses@TBoundBuses tatizo linaanzia pale wenye hayo mabasi wanapoupokea huo mzigo, wakiona mzigo ni kitu cha kuvunjika, kwanini wanaupokea? Wakati wanajua hautofika salama kulingana na jinsi wanavyosafirisha mizigo.
@Aruatani@Aruatani nimeanza kusikia kuhusu vazi la taifa mwaka 2011 - 2012 na bado mpaka leo tunaelekea 2026 Tanzania hatuna vazi la taifa, its a shame, utasikia imeundwa kamati ya vazi la taifa ili kuwapa watu ulaji tu. @j_kabudi@MwanaFA@makonda_paul userious unatakiwa kwenye hili.
@Getrude_mollel@Getrude_mollel unatumia nguvu kubwa sana kutaka kulisakama kanisa katoliki, ila nikujuze tu rafiki yangu, kanisa katoliki halitokuja kukujibu mitandaoni, ungetafuta hoja zingine kama ishu ni maokoto ya kusukuma # ๐๐