@vigilantWireman@KennedyMmari Unaonekana unaupeo mdogo sana wakufikiri. You lack critical thinking. Hauna uwezo wa kujenga hoja zaidi ya character assassination. Kwakifupi nimegundua nabishana na limtu lijinga kuliko kawaida. Bye bye 🤡🤡🤡🤡
@vigilantWireman@KennedyMmari Eti nchi yako? Maana yake wewe huusiki. Sasa kama sio Yako unahangaika Nini? Tafuta kazi za kufanya. Utakuja kufa maskini.
@vigilantWireman@KennedyMmari Leteni Agenda zitakazowashtua vijana kuona umuhimu na utajiri wa Ardhi na investment. Mfano Kuna urasimu kibao Kwenye swala la upatikanaji wa vibali vya kusafirisha bidhaa za mbao nje ya nchi, lkn hakuna mwanaharakiti anaepigania agenda kama hii mpaka iwe resolved.
@vigilantWireman@KennedyMmari Shida yenu mnafikiri Kila anaewapinga ni chawa. Mnaakili ndogo sana. Shida hamjui the root cause of the problem ya hii nchi ni mfumo na sera. Akili zenu zinafikiri nchi ikibadilisha chama ndo mambo yatakua fresh Yani. Kwamba maria sarungi akiwa waziri ndo Taifa litakombolewa yani
@vigilantWireman@KennedyMmari Si unaona. Eti familia Tatu 😄. Stori za vijiweni kama zile za Kila tajiri ni freemason na muuza unga. Hamna kitu apo stupid little rat.
@vigilantWireman@KennedyMmari Sihitaji chanzo kutoka kwa maclown Mimi. Nyie vyanzo vyenu ni speculation tu hamna kitu hapo. Kwasababu mmejazwa chuki na hasira mnaweza ruka na ajenda yoyote bila kufwatilia credibility yake. Mmekuwa pawns Kwenye game wanayocheza wanaharakati.
@vigilantWireman@KennedyMmari Mimi sipingi kwamba hamna madudu Kwenye Government. Mimi ninachokemea ni approach nyie maclown mnazotumia. Huwa hizo style hazijawahi saidia nchi yeyote zaidi ya kuleta chaos. Tumieni njia ya mijadala na kuelimisha sio mnatumia script za wanaharakati wanaolipwa na foreign Intel..
@vigilantWireman@KennedyMmari Sijakwambia usifie chochote mimi. Shida yenu mnatumia chuki kuamsha hisia za watu mkifikiri kwamba ndio approach Nzuri ila hamjui how dangerous it is. Kumbuka wanaohamasisha hizo chuki in large scale hawapo bongo. Sudan mambo yalianza hivyo hivyo.
Jobs are scarce, and the ones available are underpaying, but motivational speakers will keep introducing new CV formats as the solution, just to hide the fact that capitalism doesn't produce the gainful employment opportunities it promises.
@vigilantWireman@KennedyMmari Kutokuwa na usawa. Ila TZ huwezi linganisha na hizo nchi zingine zilizotajwa hapo ndugu. Nyie shida hamtembei mmejifungia Dsm tu.
@vigilantWireman@KennedyMmari Acheni hizi propaganda. Shida yenu mnapambana sana kufanya TZ ionekabe kama ni mbaya sana. Harakati za kujazana chuki tu. Hamia Kenya basi Sasa unafanya Nini bongo kama pamekushinda.
@vigilantWireman@KennedyMmari Analysis Yako ya kwamba inequality ni kubwa Tz umeitoa wapi? Kwanza Sijawahi sikia TZ Kuna watu wanakufa njaa ila Kenya nimesikia.