Nilikuwa exam room kidogo naskia notification ,kuchungulia nikaona ni @HELB nikaruka juu nilikuwa na 3 bob mbele nyuma cutting long story short niko hapa mbele ya panel to explain why nilirarua exam paper ๐ญ๐ญnaeza pewa 1000days kweli?
@brendah_042 Shida yetu huwa kublendiwa na Brenda kwanza akiwa slender kama salamanda; na amepitia pale kwa komanda. Awe na kanungo ya ku-meander kama R. Nile. Na asiwe ametembea na akina Amanda kule Rwanda coz Zuchu ashamranda akawa parapanda mitandaoni.